@teacheryusuph: ELIMU NA BURUDANI..🔥🔥 Ulinzi wa mtoto na jamii yetu huanza na mimi pamoja na wewe.. Tuendelee kuwaelimisha watoto wetu kuchukua tahadhali dhidi ya matendo yanayoashiria kuwepo kwa ukatili wa kijinsia...🙏🙏 #tanzaniatiktok🇹🇿 #congolaise🇨🇩🇨🇬 #kenyatiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #trending