@islamicswahilinet: SHEIKH SHAFI ATOA USHAURI JUU YA UJENZI WA MSIKITI WA BILIONI 21 Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 17:18:17 GMT
Music
Download
Comments
duddywily :
billion 21??? mmmh
2026-10-04 21:56:15
0
BEET MR :
Maashaalaah [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-04 19:48:30
1
Dr.Dre :
shekhe ana akili sana✍️
2026-10-04 18:46:33
9
EL MASOUDGE KANZU OUTFIT :
fact point
2026-10-05 08:36:29
0
ayubu msakii :
watujengee hospitali za kiislamu
2026-10-04 18:18:21
38
Mr khazraj :
sahiii Allah akulipee kwa kutoa maoni yenye maono makubwaaa👍👍
2026-10-04 18:43:17
26
mjaka mwinyi :
mashall
2026-10-05 07:10:13
0
Botto Mwesongo :
Allah akihifadhi sheikhe ushauri wako waufuate haswa kwenye hospital
2026-10-04 18:54:29
10
Omary :
Umeongea ukweli kabisa maalim hongera sana
2026-10-04 18:51:57
8
STOPERLLIZO HUNTER :
huyu sheikh kaongea l maana san
2026-10-04 19:15:07
6
.C.a.s.u.a.l. :
kuna kipindi sheikh shafii ana matatizo
2026-10-04 17:56:30
6
Please :
shule zetu za kiislamu tunafundisha dini kuliko masomo ya darasan
2026-10-04 19:01:28
9
zookey :
hivi kuna hospitali au shule ambazo waislamu hawaruhusiwi hapa tanzania?
kwa nini useme hamnazo?
au mnataka mkizijenga sizihudumie wasio waislamu?🤔🥺
2026-10-05 04:35:14
1
Mohamed :
Lengo la Makonda sio kwa waislam Tu wa Arusha ni pia kwa ajili ya Tourists, diplomats and other international personnels... do you think President of country X anaweza swali Mtaani kwa usalama wake?
Makonda alikuwa sahihi kusema wageni wa Kimataifa ndio target kama Dar sasa tunayo misikiti ya hadhi hiyo
Ile ya Bakwata na Maamur Upanga.
Hizo hospital tuchange tujenge sio kukataa msaada, msaada hauna masharti
2026-10-04 20:14:52
5
kweli kabisa asa apa kwenye zaanati mana mana dada zetu wana zalilika sana kutibiwa na madakitari wa kiume mungu atuongoze kwenye ili
2026-10-04 18:21:23
12
chancelle majaliwa :
Allah Akbar 🙏
2026-10-04 17:34:51
7
Adastay :
kweli kaka
2026-10-04 22:54:50
1
Kwasa Kwasa :
nakuku bali sana
2026-10-04 21:59:36
1
frank Sinatra :
uyu shekhe smart Sana kichwan Yuko vizurii
2026-10-04 20:48:32
5
litolonyo :
kweli kabisa
2026-10-04 19:31:53
2
number10💥 :
fact shee🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-04 20:46:13
1
Abuu Milhaan :
Allah akuhifadhi
2026-10-05 04:26:34
0
Sizyajr :
Ni sahihi kabisa
2026-10-04 19:17:44
2
raymond87 :
waislamu hatuna zahanati? waislamu hatuna vyuo? waislamu hatuna orphanages?....mmeona haya mambo...tunarudi kule kule alikotutoa Nyerere kuanza kubaguana kwa itikadi za dini. Kuwa na hospital kwaajili ya waislamu pekee na shule kwajili ya waislamu. Tungeachana na hivi vitu hasa kwa dunia ya sasa. Viongozi wa serikali msijiingize kwenye hii michakato...muwahudumie watz wote pasi kujali agenda zao za kidini...
2026-10-05 03:26:15
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.