@tzwifiexperts: 🔥🛜 ANZA BIASHARA YA WiFi KWA VOCHA – GEUZA INTERNET KUWA KIPATO! 💰 Ukiwa na internet, unaweza kuanza kuuza WiFi kwa vocha na kupata kipato kila siku. Inafaa kwenye hostel, nyumba za kupanga, maduka, saluni na maeneo yenye watu wengi. 💰 MFANO WA MAPATO: Vocha 1,000/= × wateja 40 = 40,000/= kwa siku Kwa siku 30 = 1,200,000/= kwa mwezi kabla ya kutoa gharama za uendeshaji. ✅ MFUMO MANUAL Na Mikrotik– 350,000/= • Malipo mara moja • Hakuna subscription ya mwezi • Unatengeneza vocha mwenyewe • Tunakufundisha matumizi 🤖 AUTOMATIC + MANUAL – 600,000/= pamoja na kifaa Cha Ku unganisha watu wengi. • Unatumia Automatic na Manual kwa pamoja • Mfumo unatumia MikroTik • Kifaa chenye uwezo wa kuhudumia watumiaji wengi kwa wakati mmoja • Malipo yanaweza kuunganishwa na Selcom, Zenopay au Azampay,palmpesa nk.. • Subscription 20,000/= kwa mwezi • Unaweza kusimamia biashara hata ukiwa mbali (mfumo unajiendesha wenyewe ) • ⁠mahitaji NIDA / TIN 🔥 PIA TUNAO MFUMO USIOHITAJI MIKROTIK! Unahitaji tu: 🌐 Internet yoyote 📡 Access Point mfano kama TP-Link, OMada n.k. yenye mfumo wa voucher ndani tunaweka 🔌 Cable Mfumo ni Manual na Automatic. Hivyo huhitaji MikroTik. 📡 ACCESS POINT / COVERAGE • Kawaida – 170,000/= hadi ~100m •Tplinkeap650 – 480,000/= hadi ~200m eneo la wazi • Long Range – 650,000/= hadi ~300m eneo la wazi 🔌 Cable: 1,200/= kwa mita | Roll 305m: 250,000/= ⚡ Mini UPS inaweza kuongezwa kwa backup ya umeme.10000mah bei 120,000 masaa 9 vizuri inatunza moto 🛠️ Dar es Salaam: Tunafika site na kufunga. 📦 Mikoani: Vifaa vinatumwa au fundi anafika kwa makubaliano. 🚀 Usiache internet iwe gharama tu — igeuze kuwa biashara! Anza kidogo, ongeza coverage kadri wateja wanavyoongezeka. ☎️ 0767 475 854 🛜 Coverage kubwa = Wateja wengi = Fursa ya mapato zaidi! 🔥

TzWI-FIexperts
TzWI-FIexperts
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 17:18:59 GMT
11617
323
44
27

Music

Download

Comments

xlookup31
Tech Master 🛠 :
1km unaweza kuiona ila ni useless, full duplex haitapatikana. Watu wengi ✅️
2026-10-04 21:53:48
8
edwardgoodlucky
Edward Goodlucky :
issue ni radii mkuu ruijie yangu imepigwa radi sijui nifanye nini
2026-10-05 03:20:56
3
baraka.samson
Baraka samson :
zipo adi 20 hahhaa au ujawai sikia???🤣🤣
2026-10-05 05:07:16
2
thisis_esteve
esteve :
bei
2026-10-05 00:35:12
1
binzanzibar
Bin Zanzibar :
tatizo sio kwenda tatizo inarudi ikishaendaa..
2026-10-05 03:21:19
1
philosopher100100
🅣🅗🅔 🅞🅝🅔 :
:Kuna moja ilifungwa pale mawasiliano stendi na Coke studio. inaenda mpaka karibu ubungo ila Useless
2026-10-05 07:06:09
1
salim_ally
Salim_Ally :
bei gani
2026-10-05 07:15:39
1
nandeter_tech
NANDETER TECH. :
kwhy unataka kusema 1KM Ndio umbali wa mwisho
2026-10-05 04:34:36
2
swaleh.alliy
hom boy :
shingapi Hadi naipta
2026-10-05 06:32:29
1
almade_og
Almade :
bei kiasi gani?
2026-10-05 05:51:40
1
kake_1900
njoo fasta :
full pamoja,na bili bei gani
2026-10-04 19:00:15
1
min.simon
Simon Min. :
nitumie Kenya
2026-10-05 05:13:24
1
aem_saphy12
🥀|🤴🏽|Shaaban Saphy🐦‍🔥 :
beigan
2026-10-05 09:10:35
0
jitulamtumba01
Jitu la mtumba :
bei
2026-10-04 20:14:51
0
tajiri_la
upcoming taita+255 :
cambium ni sh ngapi
2026-10-05 09:08:25
0
mwandonya
MWANDONYA FOOLTBALL :
nahitaji
2026-10-05 09:56:18
0
tembaone
Erick Temba :
je inapiga 360°
2026-10-05 08:13:19
0
giftroberttz
Gift Robert :
bei
2026-10-04 20:18:20
2
orvix76
ORVIX :
vifaa vyakuzuia radi husa Access point vipo na gharam yake ni shingp
2026-10-05 11:15:52
0
user1816123saidiissapima
saidi issa pima :
shingap
2026-10-05 11:22:25
0
muzirahmad
muzirahmad :
mtu akiwa ndani ya nyumba anaweza kutumia?
2026-10-05 07:45:11
1
allyamin3
HIDHIRI :
inaitwaje hiyo
2026-10-05 06:11:06
0
tumainibigz
Tb :
unachanga sana watu....hakuna Access point dunia ya 1km ....hz ni point to point bridge zipo Hadi km 100...wengi wanafanya hz biashara hawafanya kazi Kwa isp Kwa hyo wana little knowledge
2026-10-05 09:14:54
0
To see more videos from user @tzwifiexperts, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About