hii haiko sawa ht kdg mtu maskin anajichum pesa zake mia 2 mia 3 anaek mwish kasha pat pahli pa kujistir umamrejesh nyuma ina uma hakika hii ni dhulma na dhilma haimuachi mtu salama abadan
2026-10-05 02:46:19
5
Zuuu :
Me mwenyew nalia🥺 au ndo naipenda Ccm
2026-10-06 06:53:02
3
Ratifa kanjanga :
mungu angalia wajawako tunavo teseka uku jamani na umasikini wetu yalabi tupe mwisho mwema na haya mambo
2026-10-04 17:55:29
11
🥗aunt muu kitchen 🥗 :
yaani hii ni zanzibar au
2026-10-05 04:04:57
2
Suheler brown🦋 :
Duh mweny kt s mshrkin lkn
2026-10-04 22:32:55
0
professor_diesel7 :
hiyo ndo CCM. madhalim wote
2026-10-06 05:19:50
2
user8842620653610 :
zidumu fikira za mwenyekiti wa ccm
2026-10-06 12:38:58
1
nawwar sultwaan :
😭😭😭😭 serikali serikali serikali ntakwita mara 3 serikali unafanya makosa yasio semeka na mujue Kuna hakimu wa hakkimujue Hilo wawekezaji Leo ndio sababu ya vilio hivi lakini mujue musipotatua matatzo haya itawakaba dhulma hii siku ya mauti yenu kadhalika siku ya kiama hataruka kiumbe yyte isipokua atapita ktk swiratwi olewake ataefikia pale awe na hakki za watu walio dhulumiwa watu wangapi wamesha chukuliwa ardhi zao na haku a hakki yyte inayo fanyika wangapi majumba Yao wanavunjiwa hawalipwi dah
2026-10-06 20:17:57
1
Zainabu Amiri :
mungu atu simamie sisi waja wake
2026-10-05 09:33:51
1
user sanura :
m mungu awaponye jamani inauma sana
2026-10-06 05:05:54
2
Chacha Nyabale :
ccm oye
2026-10-05 17:26:08
1
mrs suleiman :
inauma sana umaskini mbaya yaani
2026-10-04 20:37:13
3
4S么GHOST!亗 :
mpo wapi nije kujiunga kuliya roo inauma sana
2026-10-06 09:32:21
1
Rabia m yahya :
2026-10-05 03:02:16
1
Karume's Traders :
As long as ikifika 2150 sisi wote tutakua hatupo bas tusiwe na waswas
2026-10-04 23:18:50
2
🥗aunt muu kitchen 🥗 :
mtihan kwakweli
2026-10-05 04:04:15
1
Sofia ally :
😭😭 So sad
2026-10-04 20:23:11
2
bib ayra🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿 :
jamani nimelia adi mim wanafamiry jamani wao wanaangalia pesa daa poleni jamani
2026-10-04 19:31:10
2
zanzibar ❤️zaman :
kweli zanzibar tukowengi tulozulumiwa Yaa Allah tuhukumie wajawako na hizi zulma zinazofanyika😭😭😭😭
2026-10-06 06:46:16
1
Seif Kabelele :
WATANZNIA DUNIA IKO. MWISHONI WATU TUNZULUNIWA HADHARSNI
2026-10-05 19:37:01
1
MAFIAN OG :
"nasema mtanikumbuka Tena kwa mema na sio kwa mabaya" Leo raia hawana thamsn ktk nche Yao duh
2026-10-05 19:29:26
1
Mkoma Lulu :
uchungu jamani😭😭😭
2026-10-05 01:31:24
1
🫡🫡🙎♀️🙎♀️ :
maskini dah pole
2026-10-04 20:04:19
2
To see more videos from user @misszanzibar2, please go to the Tikwm
homepage.