WATU WATAKE , WASITAKE , MIZIKI MIZURI YOOTE DUNIANI , NI ILE MIZIKI YA MIAKA YA 80s na 90s....UO MUONGO(Decade) ULIJAALIWA WAIMBAJI WAZURI WANAMUZIKI WAKALI SANA KWELI KILA GENRE (Aina ) YA MZIKI ULIOFANYWA NA WANAMUZIKI....
HILI PIA NI BOONGE LA NGOMA
2026-10-05 12:25:14
4
Jasmin Afua cosmetics :
Babe nguo pambee[Gesture OK][Red heart]
2026-10-05 07:23:10
0
mwaramisunna :
nimevutiwa nawewe
2026-10-09 07:29:44
1
Sauti ya MTALE :
nyimbo nzuri ila wewe umependeza zaidi ya nyimbo🙏
2026-10-05 12:14:18
1
Damiani Sabasi Lashayo :
🥰🥰🥰🥰love songs 🎵 ❤️💕
2026-10-05 18:18:24
1
pisces123456 :
kweli dunia ni kuona halafu mengine hayashauliki beautiful body shape 🥰🥰🥰
2026-10-04 18:53:45
1
Arianna :
unanikumbusha mbalii halooo
2026-10-05 09:25:22
1
mraiyjuma :
umependesa sana na heshima ya kutosha wadada kama wewe wengine wAko wapi
2026-10-04 22:33:29
0
Rashid :
Mashaalah nyimbo nzuri kama ww mwenyewe ♥️♥️♥️
2026-10-04 22:27:03
1
MOSSIAH :
😍😍😍🔥
2026-10-09 13:09:57
0
user8724942945740 :
nakuelewa chunks baba
2026-10-04 18:53:22
1
vovaDc :
karib nyimbo nyingi hapa zina tukumbusha enz za makuzi binafsi nyimbo hizi nakumbukia utoto wang pale kinondoni mkwajuni mitaa yote ya Moscow na manda Street
zilikuwa nyakati bora sana dunia mapito wengi niliokuwa nao washatangulia
2026-10-06 09:44:45
1
sudiumbumbu :
ongera
2026-10-09 13:08:08
0
Nick Cockers :
the title of the song?
2026-10-08 11:15:25
0
mwaramisunna :
umeolewa???
2026-10-09 07:29:14
0
Ally Salum :
Daah kweli umenikimbusha mambo mengi sana,huo mziki enzi zile nimejitambua ulikuwa mziki mzuri niliupenda sana
2026-10-08 02:53:46
1
Hamisi Magwada :
huo ndo muziki dada,,umependezaje
2026-10-08 02:31:04
0
BudQuizzer :
Masha Allah
2026-10-09 10:34:15
0
Limpopo Anti jackodhonya :
Dunia Msongamano. Umeniguza kweliii.
Shukrani.
2026-10-08 09:45:24
0
user9032761815614 :
Dunia msongamano
2026-10-08 19:23:31
0
mc :
Kweli 😂 ngoja nione mambo alafu nikae kimya 😂
2026-10-08 17:13:35
0
samogaz :
unajua mdogo wangu
2026-10-08 16:49:33
0
To see more videos from user @farhiyah1, please go to the Tikwm
homepage.