hati wanzeee wa magigi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-04 20:32:36
0
Nico John :
Wewe ukishiba, usifikiri wengine wanashiba! Hivi unajua wako wachungaji hata nyumba hawana, chakula hawana, nguo hawana! Tusiwaweke wote kundi moja!
2026-10-04 18:39:31
3
MAN OF GOD MBEZI :
Angalau YESU bado ana masalia wanaoelewa namna ya kuwatendea watumishi wa madhabahuni
2026-10-04 19:54:08
7
jeremiahkamau kaundu :
exactly pastor
2026-10-04 19:40:09
1
FRANCIS✝️✝️ :
Muda wa kuweka kwenye group la kanisa sasa [Tears of joy]
2026-10-04 20:09:09
2
Benadeta Sarungi :
Asantee baba ujumbe uko vizuri
2026-10-04 19:50:28
5
athuma maguta :
pointi pasta
2026-10-04 18:55:36
1
Mo town enterprise :
Mchungaji mwenye utu pig up
2026-10-04 18:24:42
4
naomega :
hatimae tumepata msemaji🤣🤣🤔
2026-10-04 19:01:22
2
THE HOLY SPIRIT POWER Team DSM :
mm hapo nakupenda mzee wangu ubarikiwe
2026-10-04 19:44:09
2
gwilakidinilo245 :
Wachungaji wanajionaga wao peke yao ndio watumish....wakati kila mmoja anatumika kwa sehem yake ndan ya kanisa....
2026-10-04 20:30:12
2
Danieli Madoda :
heeeeeew!!!!YESU atimaye umetuona
2026-10-04 20:17:03
2
Rahabu Angumbwike :
Mungu amewakumbuka waimbaji njooeni tumshukuru Mungu
2026-10-04 19:12:49
3
Frank 🎸🪘🎺 :
amina amina
2026-10-04 18:43:32
1
Gab_Jr001 :
amen amen🙏🙏🙏🙏
2026-10-04 19:36:20
1
hellenkakahellen :
ameen
2026-10-04 18:28:01
1
Jesham mgeni :
kweli kabisaaaa
2026-10-04 19:48:31
1
Elisha Mwailanga :
amina@
2026-10-04 19:15:56
1
Steve Catholic Organist :
bors ata umetukumbuka tuwe tunapewa ata wali jumapili😂
2026-10-04 19:03:44
7
Seraphin :
woow
2026-10-04 19:33:26
1
Baraka mwasipaja :
fact kabisa
2026-10-04 18:13:05
1
chipya3 :
Asante pastor kwa kutukumbuka.
2026-10-04 18:23:48
3
Johnny E. :
Mchungaji it's marvelous revelation, si kila mmoja anaweza kuliona hili..viongozi wa dini lazima washtuke na waelewe hili..Bigup sana Pastor wangu Mungu akubariki sana, embu endelea kuwasemea vijana maana wao wakiongea wanaonekana hawana heshima kwa baba zao
2026-10-04 18:03:53
3
Yohana Aloyce :
kabixa ameni
2026-10-04 18:46:30
1
Abel mapundaTz :
tupate wapi mtu kama huyu
2026-10-04 19:22:34
1
To see more videos from user @obedjkatunzi375, please go to the Tikwm
homepage.