serikala inakwepa lawama inataka kila mtoto akafie kwao
2026-10-04 19:14:21
12
Heather :
nashindwa kuwalewa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-04 20:36:46
1
mercy fascinate :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] wamerahisisha tu kila mtoto akafie kwao kam hujui kuogelea ata ukifunga chuo Haina maan au maboya nmeacha nyumban ?
2026-10-05 06:55:40
2
frankie19938 :
Kwan chuo sio shule??
2026-10-04 19:34:59
3
Atmau Bint Khamis :
Bora ninavyochelewa kulipa ada🤣
2026-10-05 02:39:44
2
Me n You🥰🥰🥰🥰 :
we kaka upewe kituo😂😂😂😂
2026-10-05 05:41:47
1
sabby girl 💜 :
je el nino isipotokea hao wanafunzi watarudi shule au mpk mwakan tena mwezi wa kwanza
2026-10-04 19:09:15
4
Kidada❤️ :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 serikali ituangalie
2026-10-04 20:48:03
1
ItsTrice :
ila weweee
2026-10-05 08:17:04
0
Queen🍂inab🥀 :
Kwakwel cjui wanatuchukuliaj
2026-10-04 19:03:36
0
Neylee :
ada yet paradise tujiandae na el nino
2026-10-04 19:17:06
0
Said Makapu :
swali zuri
2026-10-04 19:03:48
0
saut ya dhahabu :
hii ni maajab
2026-10-04 20:24:42
0
Last born G🧚♀️💝 :
apo sasa
2026-10-04 20:07:42
0
mama ozil ❤️ :
😂😂😂
2026-10-04 23:55:17
0
esterbwile :
😂😂😂😂 daah
2026-10-04 18:02:58
0
MAMA JIMMY :
😂😂😂eb niachen jmn naumwa le0
2026-10-05 05:30:21
2
Doreen Willbard :
😂😂😂😂 ila bongo kuna vichwa jmn😂😂😂😂😂
2026-10-05 09:39:47
1
bwanamushi912 :
Wanachuo si mnajifanya Mambaz 24
2026-10-05 04:45:40
4
aziza :
serikali inawapendelea sn walimu na mshahara wanawalipa sasa miezi yot hio watoto wakae majumbani tutakuwa hali gani ss wazazi mung tupe moyo wa uvumiliv mn hichi ni kipindi cha matusi na makofi km yote
2026-10-04 21:35:37
1
princess JR👸 :
Hahaha usihofu mbona budget imeshapangwaa kuna maboti kama school bus yatawapeleka na kuwarudisha swaaaeeenhee
2026-10-04 18:06:54
3
To see more videos from user @waziri_wa_comments, please go to the Tikwm
homepage.