@drchinja: MGOMBA 🌵 Mgomba katika kuondoa matatizo mbali mbali ambayo mengine ulidhani hayawezekani kupata ufumbuzi wake, uzuri ni kwamba tutatumia dawa rahisi kupatikana kwake ambayo ni mgomba 👉TATIZO LA NUKSI Tafuta majani ya mgomba upate yale ya juu ndio mazuri zaidi na uchume asubuhi sana wakati jua linachomoza Chemsha majani yako weka katika ndoo ya kuogea weka sarafu ya silver ( miatano ) na chumvi ya mawe kisha oga rudia kufanya zoezi hilo kila siku kwa siku 7 mfululizo, majani utachuma mapya ila sarafu ile ile baada ya siku 7 hiyo sarafu nunulia kitu toa sadaka hasa kwa watoto wadogo wanunulie chochote kitu huku ukidhihirisha yale unayo yataka kwa nguvu ya sadaka yako 👉UWEZO WA KUMUDU TENDO LA NDOA Tumia mizizi ya mgomba kuchemsha na kunywa kikombe cha chai kila siku asubuhi na jioni hadi utakapoona uwezo wako umeimarika vizuri 👉NGIRI, MAUMIVU YA TUMBO, KUSAFISHA MIRIJA YA UZAZI Chemsha mizizi unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili 👉MTOTO AMBAYE AMEKUA MZITO SANA KWENYE KUONGEA Mlowekee mizizi ya mgomba kisha mpe anywe walau vijiko viwili, zingatia usimpe mtoto mdogo chini ya miaka miwili 👉PIA TOTO LA NDIZI LINA FAIDA NYINGI KAMA DAWA YA BAWASIRI, KINGA YA NYUMBA AU SHAMBA 👉MAGANDA YA NDIZI YAANI YALE UKIMENYA NDIZI UNAYATUPA SASA YAWEKE JUANI KISHA UKICHEMSHA UKANYWA KILA SIKU NI DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO Mgomba ni zaidi ya tiba 🤝 DUA | VISOMO | TIBA | USHAURI | NASAHA DR CHINJA 🇹🇿 0757154158 | 0617672595 #kenyantiktok🇰🇪 #rwandatiktok🇷🇼 #burunditiktok🇧🇮 #tanzaniantiktok🇹🇿 #muscat_oman🇴🇲
mm nikiwa nasomewa ntoa shibe n kila wakt hiyo n nn
2026-10-27 07:17:18
1
Mina bah🥰🥰 :
m nkiw n xomew npga mihay lkn xjawh pandxh n nkuwa naota matukio kabla ayaja tokea naomba unxaidie
2026-10-04 19:06:39
1
hmam008 :
mimi shekh sioti huwa naona na mda huo huo ndo kinatendeka yan nakuwa kama nazubaa af naona vitendo vitavytokea baad ya mda mfupi af narud kawaida ndo nalion ilo tukio
2026-11-01 19:50:40
1
Maboko :
nikilala hua naota nakula chakula ama niote nafukuzwa kama niko karibu kushikwa najipata napaa juu
2026-11-08 16:20:35
1
litha cutely❤️❤️ :
sasa km ukiwa unaoteshwa matukio alafu kesho take yanatokea km yalivyo Hy inakuwaje
2026-10-07 03:17:09
1
Dee Nema❤️🇯🇲 :
niliwai tumia mgomba na ushuhuda nao aisee💪🙌🥱
2026-10-19 12:18:07
1
amina :
Ninaposikia hizi nyimbo yaani lazima nitikise mguu na kichwa pia huwa naona amani ya moyo wangu
2026-10-19 05:18:03
1
Emy Raj :
kwaajili ya kusafisha mirija ya uzazi unatumia kwa mda gan
2026-10-15 07:40:20
1
user2685975393964 :
nakukubali sana🥰🥰🥰🥰
2026-10-04 19:31:55
1
Alex_Fundi :
Asante. naomba na dawa ya mgoro. bawasiri
2026-10-17 17:16:33
1
Maa Vivaan :
mm nikiota kitu mara mbili ichoicho kinatokea kweli
2026-10-20 09:15:03
1
Salma Malundu :
una patikana wap
2026-10-04 20:11:46
0
babyzuu :
Mashallaah
2026-10-10 12:53:58
1
Araphaqute 😘 :
kinga ya nyumba unatumiaje
2026-11-23 19:51:58
0
Aisha mohammed :
mnatisha
2026-10-04 19:24:53
0
mariamuj :
poa
2026-10-05 14:17:19
0
Agripina :
💕💕💕💕
2026-10-04 19:08:05
1
Yusuf :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-11-16 16:15:05
0
prince konde :
🥰🥰🥰
2026-10-22 05:29:37
0
Lidia Ndonyalo :
mm naota naona migomba ya ndiz changa na miti fulani ipo ndani ya maji katikat na siijui kazi yake nn
2026-11-17 18:20:51
0
gee :
🥰
2026-10-20 14:24:44
0
👑KING CAPRICORN 👑 :
👍👍
2026-10-05 07:33:58
0
rahy@moh :
nakupenda bure sio mchoyo mungu azidi kukubaliki
2026-11-20 07:59:22
0
To see more videos from user @drchinja, please go to the Tikwm
homepage.