@emileannie: 🇹🇿 TAARIFA MUHIMU – MISS GRAND TANZANIA 👑 Hongera sana 🇹🇿❤️! Miss Grand Tanzania imefanikiwa kupata alama za juu zaidi katika Country’s Power of the Year – Round 4, Matokeo haya yalitokana na kura zilizopigwa kupitia Instagram rasmi ya Miss Grand International kuanzia tarehe 2–4 Oktoba, pamoja na support iliyokusanywa kupitia Instagram 👏 Hongera kwa wote watatu! Support kutoka kwa mashabiki na nchi zenu imekuwa kubwa sana. ❤️🔥 ⚠️ LAKINI SAFARI BADO HAJAISHIA HAPA! Round inayofuata, washindani 2 TU ndio watakaofuzu kwenda kwenye hatua ya mwisho ya Country’s Power of the Year na kupata nafasi ya moja kwa moja kwenye TOP 20 ya Grand Final. 🇹🇿🔥 Tanzania, muda wa kuonyesha NGUVU YETU umefika! Tuwe tayari kupiga kura kwenye round inayofuata na kumpa Miss Grand Tanzania support kubwa zaidi. 👑🇹🇿❤️ TANZANIA POWER! 🇹🇿🔥👑#creatorsearchinsights #mgi #tiktoktanzania🇹🇿 #viralvideo #fyp @JIHAAN🇹🇿 @jihan_dimack @jihan_dimack1 @Jihan @Emileannie story📘📖 @trice🫶🏾❤️‍🩹 @JihanDimackfanpage

Emileannie🦋
Emileannie🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 18:41:57 GMT
10563
501
10
3

Music

Download

Comments

miss_lucie6
miss_lucie🌸 :
nimeamka hapa sina hata kazi haya sema tufanye nin bint yetu ashinde
2026-10-05 03:25:09
2
riziki.chande4
Riziki Chande :
2026-10-05 08:58:41
1
shax.bae8
it's me🦋🫂 :
ma jobless tukiamua sas😂
2026-10-05 06:12:54
1
gourge24
~~~ :
❤️❤️❤️
2026-10-05 10:36:01
1
solder.debriah020
solder debriah0202 :
♥️
2026-10-10 13:44:59
0
To see more videos from user @emileannie, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About