umenikumbusha nyumbani tumeishi maisha kama haya hata leo nikfika mbwa hawezi kuniahau watanipokea 🥰🥰
2026-10-05 13:52:06
7
Rashid :
beg limeenda wap apo wakat anakumbia
2026-10-05 18:05:20
0
cheni :
umetisha sana apo
2026-10-05 13:20:48
2
dianakivanda :
Nina mtoto wangu jamn kila mda yuko na magroup ya mbwa nimeshamzuia lakini wapi mbwa nao wakimuona tu wanamkimbilia
2026-10-05 15:06:07
2
Shuby Bakama :
alivo mkumbatia mbwa mdogo🥰
2026-10-05 21:04:54
0
MAMA WAWILI :
kabisaaa maisha ni upendo ata kma una ela
2026-10-05 19:48:05
0
Kimingichi Yassin :
mbona gari imemshusha mbali
2026-10-05 20:11:00
0
user8256591137400 :
ok, upendo ni elimu kivyake .
2026-10-05 18:37:16
0
riziki kalu :
nawana mlinda pia
2026-10-05 18:29:19
0
Esha Rujaina :
kabisaaa🥰🥰🥰
2026-10-05 19:56:17
0
BOSCO BTC FASHION 🇹🇿 :
Amina
2026-10-05 20:47:59
0
j khan :
maisha ni furaha na aman
2026-10-05 18:30:30
0
Johari Halfan🥰🥰 :
daaah! mmenikumbusha sipia ni mbwa alikuwa na upendo kuzidi hata wanadam nikiugua hata uwe usiku wa saa ngapi nikipelekwa hospitali atakua nyuma daaah! rip sipia!!
2026-10-05 19:59:08
0
zingo :
yenye maisha si pesa TU
2026-10-05 18:44:22
0
𝐁𝐥𝐚𝐜𝐤 𝐂𝐡𝐚𝐤𝐚𝐥🐺 :
Ukiwa mtoto Huna haja y’a pesa lakini unapo kua na mtoto una kosa chakula uta juwa Dunia ni pesa
2026-10-05 05:31:16
1
James mwanzia :
kabisa
2026-10-05 18:03:25
0
mansourndiaye1123 :
2026-10-04 20:15:26
0
Hamax shera :
Na ndio maana Biblia inasema tuliumbwa kwa mfano wa Mungu pia Biblia hiyo hiyo inafunua kwamba Mungu ni upendo ndio hii sasa
2026-10-05 17:16:12
0
Grace Busene :
2026-10-05 17:38:03
0
Emmylizzy99 :
Kaka Kama
2026-10-05 20:12:02
0
Liz :
hachoki
2026-10-05 17:20:19
0
j'etaime :
ko swaa
2026-10-05 18:02:08
0
kabiito muluswadi :
yes
2026-10-05 17:41:12
0
Mzungu Mohamedi :
kweli kabisa
2026-10-05 07:28:42
0
To see more videos from user @tunnycoerc, please go to the Tikwm
homepage.