@feddy.quality.furnitures: 🔥📺 TV UNIT DESIGN YA KISASA — SEBULE YAKO ITAONEKANA TOFAUTI! ✨ Muonekano wa kisasa, clean na wa kifahari unaoifanya TV yako iwe sehemu ya kuvutia zaidi sebuleni. 😍🔥 📏 Design na vipimo vinaweza kuendana na ukubwa wa ukuta wako. 📞 0754 619 273 — Piga simu/WhatsApp kuagiza. ✨ Ukuta mzuri + TV Unit nzuri = Sebule ya kiwango kingine! 🔥 #TVUnit #TVUnitDesign #TVStand #SamaniTanzania #FurnitureTanzania

FEDDY QUALITY FURNITURES
FEDDY QUALITY FURNITURES
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 20:02:27 GMT
68033
1718
71
182

Music

Download

Comments

dahary12
ZULFA :
We kaka wewe nimtengenezee mtu [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 16:45:16
0
aeimminah
🌸aeimminah🌸 :
Ndio mm dada nakusikiliza Ila mwanaume wangu si mdharau [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 14:33:48
0
iamm._39
Iam reneey🧘🏻‍♀️ 🇹🇿 :
Hamna kumvumilia mtu kwenye shida wakipata wanatafuta type zao 😁
2026-10-05 07:42:43
15
asha.food
Asha food..... :
we kaka kuna wengine hawatengenezek...
2026-10-05 06:00:50
8
neem350
kasabi :
shida hana msimamo ananikatisha tamaa
2026-10-05 04:37:23
9
annahfidel
Annah 💞Fidel💕 :
Panel bei gan?
2026-10-05 04:40:22
2
jenty482
Jentykibinga Nyakyusa :
Shida sio kuwa na hela shida ni kwamba wengine anawahonga ila mm ananambia ana hela
2026-10-05 15:00:24
4
roselah34
roselah🇹🇿 :
beigani
2026-10-05 04:49:14
1
khadijamohammed642
mrs omy :
🥰kama hiyo dizain beigani
2026-10-05 01:57:39
1
queen.of.beauty273
smile que ☺️ :
nimekuona leo
2026-10-05 21:14:23
1
witnessphilip
MOTHER KEVIN PRIMARY SCHOOL :
Mnapatikana wapi
2026-10-05 05:04:02
1
ester.christopher96
Ester💫💦🪷 :
mimi nasimama nae kwenye shidaa wanalala naee kwenyee rahaa mniachee😒
2026-10-05 12:50:09
1
zenakomba1gmail.c
mama p :
umeongea point mi cwez kkuzalau mume wngu hta akose kiasi gn. ntaonb tuu mungu afnye wepec kwa mapto atayoptia au tutayoptia . n ntavmilia tuu . kidogo choke Ch halali kikubwa Aman n tunpendn. tamaa za kutosubutu. zliwapoza watu. Io kaz nzur nmependa.
2026-10-05 03:42:52
1
sweett332
sweett🌹🦋 :
Alhamdulillah Nampenda mume wang na kumueshim piah naamin ni mpambanaji ipo siku mwenyezi Mungu atafungua milango
2026-10-05 08:45:49
2
gracekimbwi1
Kimbwi Grace :
shida ni kwamba wanaume huona wanawake sahihi wakiwa na hela na kuwaacha wanao wavumilia na sisi hatutaki kuwavumilia sasahiviii tunataka heraaaa 😄😄😄😄
2026-10-05 13:32:58
1
usernamelovenesswange
loveness :
Ndy mana Mimi Bado Nabikira zote
2026-10-05 19:24:15
0
user3oliva
oliver :
shingap hiyo yote
2026-10-04 20:51:10
1
ritha412218958366
Mdm Rith@ :
hii showcase tsh ngapi wanaume wapi hao
2026-10-05 17:40:55
0
user2986316929093
bbymama :
mpo wapi
2026-10-05 14:52:45
0
aemsophy_1
aem_sophy🦋🦋 :
Kam ukuta huo sh ngp nijb dm
2026-10-05 14:35:18
0
mamachuse2
Mama chuse :
Nataka Kama hivi
2026-10-05 18:13:07
0
trync.sillo
Trync Sillo :
Mkwp???
2026-10-05 15:47:08
0
chirisrap
Aila❤️❤️ :
wakijipata wanakuwa na kiburi
2026-10-05 22:16:01
0
bbymahi1
zuu salon 🪮👧🏽 :
upo api
2026-10-05 16:45:09
0
emospetz
emospe tz :
upana huo mliotengeneza ni bei gan???
2026-10-05 06:18:28
0
To see more videos from user @feddy.quality.furnitures, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About