mume akitamka nimekuacha talaka tatu kwamara moja na alipoulizwa akesema sijamuacha mke wangu jee vp hapo
2026-10-05 10:11:18
1
Ukhty🕌📿sauda :
kama ananipiga je
2026-10-05 05:54:17
0
Nurjalah :
Mbona umeifungia
2026-10-05 09:00:21
0
Okay Fine :
wapo wengi
2026-10-05 04:09:58
1
ummy mehmet :
kwenye swala apo ndo nitaomba talaka
2026-10-05 07:45:19
1
SWABRA 84 :
mungu atustiri
2026-10-05 12:25:20
0
Divine moza :
allahu akbar
2026-10-05 13:22:43
0
ff axx :
unasema uwongo sheh mimi aliniambia ameshindwa kunitunza kilakitu nitoke kwamaisha yakee alafu niko mpjatuu nawatoto wawilii hakunakunipa bitu vya mutoto kilakitu nimimi🥹
2026-10-05 12:45:12
0
mrsjeff :
umekubalije? dah... pole
2026-10-05 11:33:31
0
zaudear 🥰 :
Naombeni namm mniambie plz ikiwa mume mna miaka 6 ya ndoa na mumezaa mtoto mmoja lkn ktk kiaka hyo mwanamke ndio ahudumie kila kitu ila sio kua mume yeye anacho hapana hana pesa kweli lkn kujituma hataki kazi ta nguvu, half ana wivu kosa kidogo anaweza hata kukupigaje inapaswa kuomba talaka?
2026-10-05 12:03:33
0
My Nyakitas ❤️ :
kama Nafsi yangu hamtaki ina mchukia
2026-10-05 11:06:27
0
M,MBUGU BLAND :
🥰
2026-10-05 06:35:07
1
chia :
hata ukiwaambia ni bureee.unawavumilia weeeeee lkn hamuna kitu
2026-10-05 08:05:53
0
Mrs yaah :
kama akikuingilia kwenye siku zako
2026-10-05 08:20:13
0
zanzibar ❤️zaman :
kupigwa na kunyayazwa jee
2026-10-05 04:31:16
1
muna s seifu :
kama anakuingilia kinyume na maumbile?
2026-10-05 08:38:51
1
ukhty sofia :
vp kama hana uwezo wa kuzalisha na mwanamke anataman kupata mtoto ukimuacha unakuwa nadhambi
2026-10-05 08:40:39
3
💕Ukhty Zay 💕 :
kama mapenz yamekwisha je, simpend tena jaman nikiendelea kukaa naye naweza muuwa
2026-10-05 06:58:17
2
neyfah🌻 :
kama anapenda kununa na kama anakwmbya maneno machafu🥹
2026-10-05 11:25:42
0
queen :
na kama umeletewa mwanamke mkiristo kwa nyumba
2026-10-05 11:39:29
0
chozi :
na aliyeondoka nyumbn akahamia kwamwanamk mwingine?
2026-10-05 08:42:17
0
fatumakinyashi :
usalit wa hovyo zarau masimango vipigo dahhh shehe Bora ni Baki single hakuna Kaburi la mgane
2026-10-05 07:29:18
0
zuhura mcute :
kwl kbs
2026-10-05 10:55:44
0
maryam :
🥰🥰🥰
2026-10-05 08:40:02
0
wizzy bland :
🥰🥰🥰
2026-10-05 00:25:10
0
To see more videos from user @sultan_suqr, please go to the Tikwm
homepage.