@mr_arh1: POLE SANA KWA FAMILIA YETU YA ROAD @LOLIONDO COACH LIMITED na KIAZI KITAMU MUNGU AWAPONYE MAJERUHI WOTE MREJEE KATIKA AFYA NJEMA #fyppppppppppppppppppppppp #roadlife #michezo #viral #singida @Ramsey Dpz 🍺 @ALL ABOUT BUSES BACK UP🇹🇿 @PiereTouch™ @Melkiori Jr @Zegaze47 @KINGKEKE_12🤴Ⓜ️
@bosco_jr107
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 23:28:52 GMT
Music
Download
Comments
chimoo :
hii ajari imemvunja miguu mpenz wangu dah😭😭😭
2026-10-05 13:55:49
17
BARAKA SHIRIMA :
Naomba kujua makondakta ni wazima
2026-10-05 07:28:53
6
Menah🌹Minah❤️ :
Nambie hii imetokea wapi bus letu jamaniiiiii🥺🥺🥺
2026-10-05 12:20:33
13
Please :
yaan bila madreva kupewa Sheria ngumu watamaliza watu jaman
2026-10-05 04:19:08
5
user2787450921667 :
wakikaziwa na trafic wana anza kutoa milio madereva wa bus wako rafu sana barabarani wanaitisha mgomo wa kidwanzi
2026-10-05 17:32:59
5
itc-loraah💖🫰 :
duh pole hi snaaaa jmnii
2026-10-06 07:20:01
3
tuttie Dollars :
jmn bus langu pendwa .... poleni loliondocoach
2026-10-05 14:09:34
6
Kid rayan :
Mbona kma imepelekwa upande wa kondakta 😔
2026-10-05 07:42:28
6
it's 🌸gee :
nakumbuka Mwaka 2022 nilipandaga hiyo kiazi kitamu mwanza to moshi niliapa sitowahi kulipanda tena ni Mungu tuh ila ingekuwaga rip 🥺
2026-10-05 14:24:47
5
stanley kadilana :
Tatizo wanawashiana taa full halafu wapo speed
2026-10-05 06:56:12
9
shadyamussa :
mbona kama ni magari yate niyalolindo coch inamaana yamegongana yenyewe daa pole sana abiria mliopo humo
2026-10-05 12:36:57
5
Laurent Cyprian :
Dhuu!loliondo ilikua mbele yetu sie tulikua tunaenda dar
2026-10-07 18:40:34
2
lina de ldy🥰 :
yani tumepishana tunapigiana honi saiv imekuwa hiv jmn ,,,misigiri,,, khaiii🥺🥺🥺
2026-10-05 05:18:54
6
deonis sandy :
ni wp hap
2026-10-05 19:36:39
2
Ramadhani ally masega :
Nimeikuta hiyo ajari ulemo hapo
2026-10-05 22:16:16
2
sarah♥️♎💫 :
nilishapanda hiyo bus jmn haki niliapa sirudii tena yule dereva sijui alikuwa anamfata Israel airport 🤔
2026-10-06 06:07:47
5
Naila🤍❤️ :
mwenyezi Mungu mpe anko Rama nguvu za kuweza kuamka kitandani mapema 🙏🙏
2026-10-08 12:53:46
1
mchina :
shida ni barabara niyakuchagia zikiwa nne mbili kuxhuka mbili kupanda auwez kusikia ajali ovyo[Fist bump][Fist bump]
2026-10-07 08:48:51
1
Rey :
poleni wote kwa ajali kampuni yangu pendwa loliondo
2026-10-07 06:07:28
1
Vanessa Shalony :
poleni sana
2026-10-06 06:38:57
2
marygorreth🩵🦋💧 :
Dah jana hii usku😭
2026-10-05 18:32:51
2
paty 💖 A75 :
pole sana
2026-10-06 06:59:33
2
bright :
duuuh jan hiii😭😭
2026-10-05 15:49:04
2
GAME BUS STORE™ :
duuuh
2026-10-05 16:17:23
2
SAYEED.$🚚🚛🚔🛣️ :
wapi hapa
2026-10-04 23:36:22
2
To see more videos from user @mr_arh1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.