lengo nijue amefariki lini na amezikwa lini maana nipo mbali kidg ndo kwanza napata taarifa
2026-10-05 07:29:47
12
zdt615 :
lnnalillah wainalaha rrajiun Allah amsameh makosa yakeyote
2026-10-05 05:08:13
17
Amiri Juma :
Innalilah wainailaih rajiuni
2026-10-05 04:57:38
13
@KANJUNJU JOHN55😎 :
mungu amlaze mahali pema
2026-10-05 04:54:48
16
jamali :
inalilah wainalilah rajuun
2026-10-05 13:39:42
1
ndauka599 :
daaaa 😭 ckuiz din yetu yakiilsma imedhid utandawaz sana yaan makaburin wanatoa hotuba yakumuombea mait namicamera iri mtu aje aweke TikTok apate views Allah tupe mwisho mwema 🙏🙏🙏
2026-10-05 11:08:40
1
sakowamakavu :
Namfahamu huyu jamaa Apumzike kwa Amani
ajali imetokea wap
2026-10-05 05:30:11
5
Abuu tafeti :
Allah ampe kauli thabiti 😭
2026-10-05 07:21:56
2
B🅾️Y FROⓂ️ M🅰️S🅰️SI 🏴☠️ :
mungu ailaze mahala pema peponi Amin 🙏
2026-10-05 14:00:55
1
أبو إلحم :
Allah amuondoleee adhabu ya kaburi
2026-10-05 08:55:18
1
Kamady piano :
mungu amufanyie wepesi amupunguzie azabu zakabuli reo yake kesho kwat
2026-10-05 09:56:06
1
Ommyjuma :
amiiii
2026-10-05 06:23:00
2
Mwashu beauty saloon :
alha ampunguzie adhabu ya kabri
2026-10-05 11:45:50
1
momoo🥰♥️ :
Allah akupe kaul thabit dady mkidadi Allah akufutie madhamb yak ya sir na dhahil amin🥹😭🤲🤲
2026-10-05 05:17:36
6
abdala kiuno :
duu kumbe wanyumban kabisa
2026-10-05 05:27:15
1
💍💦Goodlove🫶🫧❤️ :
innalillah wainna ilaih rajiun
2026-10-05 05:35:23
1
saida🦋 :
nyuma yake nyuma yetu
2026-10-05 16:05:53
0
saida seleman :
inalillah wainaillah lajuhunn
2026-10-05 08:07:01
1
official muu :
maskin mung ailaze loho yake mahali pema
2026-10-05 11:07:07
0
da sweet :
mungu amlaze maali pema peponi daa jamani
2026-10-05 05:38:01
4
To see more videos from user @shafiikalela, please go to the Tikwm
homepage.