am 33 in tz I have never test mandi.or it's different TANZANIA
2026-10-05 09:20:54
2
ASAD 🇰🇪 :
That’s how we treat our guests Alhamdullah we’re Swahili Zanzibar and Kenya 🇰🇪 Muslim are best
2026-10-05 08:37:20
28
Adminwagulf🇹🇿🇰🇪🇦🇪 :
mufti menk ulifika Tanzania ipi😂😂😂😂mana asubuhi miogo mchana ugali usiku ugali ,mara moja moja wanakula wali tena ndondo 😂😂😂😂😂😂
2026-10-05 06:41:41
101
Tasha⚡ :
Ila truth be told, as a visitor in Tanzania, you will eat😂😂
2026-10-05 08:35:38
13
official-shuu💞💞 :
we're so kind here mufti alhamdullilah ♥️♥️
2026-10-05 06:41:59
0
ratz :
its Just hospitality of tanzania 🇹🇿
2026-10-05 06:11:55
64
ninoh dolls :
Tanzania ipo iyo nina miaka sjaviona em semen ukwel😅😂😂😂 ni ugal mpak kuchoka
2026-10-05 06:22:05
81
Redkiss😘 :
Tanzania ya said salim Bakhresa😅
2026-10-05 07:22:26
0
NARGIS,RESIN :
Nimeona watu wana comment Tanzania ipi hiyo mbona hawavioni. Sasa hapo inatengemea upo Tanzania upande gani huwezi kuvipata kwakena mwajuma mwantumu Jeromy Lucy 🤣 vipo kwakena muhannad hamuod hayroun nargis 🤣😂 msinipige jaman Natania
2026-10-05 06:46:19
30
LadyNajy🫦🦚 :
Shekhe kaamuwa kutufagilia tu 😂😂au alikuwa Tanzania ya masaki uyu
2026-10-05 07:08:29
22
mwajab dairecta3🌹 :
mchana tunadambua na miguu ya kuku na mautumbo na viazi
2026-10-05 09:22:47
8
jenipher :
jmn shehe siulikuwa ni mgen hujui kam sisi watanzania tup tayr tukae na njaa mgeni ale jmn usitusem hvy🤣🤣🤣
2026-10-05 09:24:59
19
siamanyari :
mimi nkipata mgeni lazima afurahi najinyima mgeni wangu akafurahi namkarim kama dini inavotutaka kapilau kakuku vichips samaki we lazima ukumbuke
2026-10-05 09:42:54
17
muuu :
why innalillahi
2026-10-05 06:00:33
21
Mr.Robot :
brother come to the locals See the Reality
2026-10-05 06:25:59
1
suher297 :
come to malawi
2026-10-05 06:24:18
1
Nana💘love077 :
Tanzania ya wapi iyo jmn au ndo walijipanga kumkaribisha mgeni jmn😂😂😂😂
2026-10-05 06:56:21
7
Fetty Nina :
jamani mm mmeniacha nyuma apo nimeelewa tanzania na chipsi na pizza na baga basi [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 06:26:55
7
RABBATUL-BAYT❤️💜💜💜💜💜💜 :
wallahy wakarimu sana Allah awa barikie rizk zenye kheri na wao.
2026-10-05 08:42:07
5
user419236617186 :
Masha allah
2026-10-05 05:11:19
7
Apple User422586 :
Good message - live simple - extravagance is the way of Shaitaan