kak msaada kuku wang wakula mayai niwape nn waache
2026-10-05 08:28:15
1
official sarah binti kayewa :
nataka vifaranga vya bata shingap
2026-11-10 14:56:54
0
hariethmatungwa :
wangu hawatagi wana mozez 6
2026-10-09 12:42:56
1
josephineexsuper :
bata na kuku wakikaa mahal pamoja hawana shida?
2026-10-05 09:48:57
1
Awadh Fb :
unawapa chanjo gani hao kuku
2026-10-06 06:56:55
1
asiliyangu :
Damu protein?
2026-10-06 11:01:09
1
ommypoultryfarm :
Ni somo zuri lakini kuna namna hujafafanua vizuri kuanzia aina ya kuku na ingredients pia maana hao kuku sio wa kienyeji wengi ni chotara hapo
2026-10-05 20:04:35
1
Bakari Athmani :
safi saana vijana
2026-10-08 09:41:36
0
Anastazia Tarimo :
dawa ya minyoo ni ipi dokta?
2026-10-07 12:48:59
0
catchingflight :
kuku wangu anataga mayai mengi tu
tatizo akilalia hayo mayai anatotoa mtt 1 tu mayai yote anayaacha tatizo ni nini???
msaada
2026-10-09 06:19:45
0
Augustino Daudi :
safii bro napenda sana kaz yko pia najifunza
2026-10-05 16:08:26
1
TINA ASALI🐝🐝 :
Hongera
2026-10-08 10:03:57
0
Justine Kisanga :
kuku wangu ni wa kienyeji na chotara ,tatizo hawatagi vizuri na wakitaga wanakula mayai
2026-10-06 10:00:12
1
kayG :
hapo kwenye kuchanganya na damu, hii damu inakuwaj? na mtama ni waaina gani?
2026-10-06 12:39:11
1
gaudensianyakamwe :
Asantee sna
2026-10-05 08:37:35
1
cakes :
je nikifuga chotara na broiler au layers kwenye cage Kila aina ya kuku kwenye cage lkn chumba kimoja je Kuna shida?
2026-10-06 02:13:35
1
Edwin :
hongeraa sana
2026-10-05 07:54:42
1
gody nguli :
ujumbe nimepata Asante sana ubarikiwe Hadi Watu Washangaee.
2026-10-05 15:46:20
2
Gradiness :
jaman wakwangu wanakula mayai jmn shida ni nn
2026-10-25 10:32:59
1
Mzuri Ng'ombe | Fitness :
hivi unawapa nini ili kuku na bata wanaishi pamoja hivi
2026-10-10 00:17:15
0
user4435061881395 :
kaka Naomba mchanganyo wa gunia moja
2026-10-05 11:07:16
1
gody nguli :
🥰
2026-10-05 15:45:27
1
Rehema Kaombwe :
ninabata wanataga vizuri tu wakifika kulalia wanalalia lakini baada ya muda mayai yanahalibika banda liko vizuri haripitisi maji na mayai hayashikwi nini shida
2026-10-21 06:48:21
0
Sultan🤴 :
naomba msaada kaka wa bata
2026-10-14 10:59:32
0
To see more videos from user @henex_farm, please go to the Tikwm
homepage.