Cheetah is longer and it's height is more than that of leopard
2026-10-08 07:09:56
1
Peace Boy โจ :
cheetar๐ have tea mack while leopard have no tea mack
2026-10-07 12:10:20
1
YONGONI RAHA.'Ramaster mweene' :
cheetah is long in size...leopard short and strong
2026-10-07 17:31:37
1
minister of idc aura ๐ :
leopard ni mfupi Cheetah ni mrefu alafu ukiangalia dots zao Kwa makini leopards ana rose like patched dots na chetah ana full dot,plus cheetah ana tear mark while leopard na other dotted big cats hawana,plus cheetah ana semi retractable claws ambaxo zinamsaidia kugrip ardhi na kuvuta Kasi, sifa nyingine ntawaambia cku nyingine asanteni.
2026-10-08 12:50:46
1
mtu poa :
chita ni huyu wa huku na leopard ni huyu wa huku
2026-10-05 07:17:55
76
Blessed_26 :
leopard(duma) ni mrefu na mkia mrefu na cheetah(chui)ni mfupi mnene na dots zake huwa ni kubwa
2026-10-05 06:52:28
21
keypadlock mweene :
cheetah
2026-10-07 19:54:08
1
๐ต๐๐๐ :
Cheetah ni mwembamba mrefu kwenda juu na ni mdogo kwa umbo, pia ukitazama uso wa cheetah una michirizi miwili meusi mithili ya machozi yanayotiririka kutoka kwenye macho yake kuelekea chini kwny kidevu. sifa hizi zote Leopard hana
2026-10-05 20:13:56
10
Misah A.K ๐ฆ :
sasa gani ni ndio mkali nikiona nitoroke
2026-10-07 16:42:10
1
samuelkagiri783 :
leopard ni munono chita ni mwembamba
2026-10-05 11:31:01
7
Nana๐love077 :
sema chui na duma iko kingeleza tz APA Duma NI uyo mwembamba na chui uyo mnene
2026-10-05 07:55:25
2
sir ,d :
chita ni mke wa leopard
2026-10-05 11:47:08
1
La Lu :
leopard ni huyo mnene mwenye miguu mifupi.
Cheetah ni huyo mwenye miguu mirefu, huyo anayekimbizwa kutoka kichakani.
2026-10-05 13:49:30
3
Lรฃstbรธrรฑ_lb๐ :
Chita ni uyo mwembamba na leopard ni uyo Menene mfupi
2026-10-05 08:46:17
5
deniss :
leopard ni huyo wa mbele na cheetah ni huyu wa nyuma
2026-10-05 17:28:47
2
sulesh :
tofaut Yao duma Kuna alama kwenye macho ipo kama machoz nyeus af duma pia kichwa ni kidogo
2026-10-05 18:05:26
3
Lastborn6 :
Cheetah
2026-10-07 00:05:04
1
Aroonramsey09โณ๐ญ :
Oky: cheetah mwili wake ni mwembamba ambayo tunaita sylinder shape ambapo mawindo yake yeye anafanya kwa kushambulia (ambushing) because wanajiamini kwa mbio zao pia uku akiweza kutumia black teamark ambay iko kwenye macho yake imeshuka chini kuelekea kweny pua nayo inamsaidia kupunguza miale ya jua na mwanga wakat wa mchana akiwa anafanya mawindo.. WHILE leopard yeye ni huge body size no mpana na mwenye strong ๐ช muscle ambayo inamsaidia kweny kumbeba mnyama maan leopard ni shy ๐ so apendi kuonekana sana kweny maswala ya windo yeye anatumia stocking kunyata coz ana speed kubwa kiivo kulingana na cheetah ๐ always they like to eat fresh meat ๐ฅฉ.. cheetah anayo spotted doted while leopard has rosette ๐พ๐พ ๐๐พ..
2026-10-05 14:49:57
5
abbuylewis :
cheater (duma) ni mwembamba na mrefu pia ana speed kuliko huyo mwingine ila hana nguvu kama huyo mwingine
Leopard(chui) ni mnene alaf madoa yake ni madogo madogo ila yeye ana nguvu kuliko duma
2026-10-05 07:03:16
5
Scissor :
chita ana miguu mirefu na slim wakati leopard ni shortiii na mnono kidogo