Tangu nipo mdogo mama alinambia mwanaume hana undugu wala ubaba🥺hii nahiz kuamni kila siku zinavyozd kwend🥺kama mwanaume anaweza kumualibia maisha mwanaume mwenzie mimi na wew ni nani😢😢tuwe makini na watot pamoja na kaka zet maana bila wao hatuna mahali tunajiwez wenyew🥺najuwa sio wanaume wote lakin hawa wachache wanawez kualibu maelfu ya wanaume🥺
2026-10-05 13:48:07
3
Kelvin David128 :
Mikazo tu mzee baba
2026-10-05 10:25:21
6
Balaka Zacharia :
tupe majina ya derva na kampuni ya hyo gali
2026-10-05 12:12:49
4
abeshmustafa :
home boy wewe kabisa wewe waun atufilwi atunatamaa tunakaza
2026-10-05 13:01:00
1
msela🍀safi💊😈😈😈 :
hurum sio malezi
2026-10-05 11:33:15
1
Piccola Bella 🌸🌴 :
Dah 🥺🥺
2026-10-05 14:39:15
0
noda~tz :
asante kwa kukaza mwanetu kunywa chochote nita lipa
2026-10-05 14:31:37
0
LOONIE JASPER :
Pole sana mwana, sema acha pombe na mibangi ujue Mungu kakuokoa🙏
2026-10-05 14:31:51
0
Mwarabu_Aluminium :
Wa nyumban kabisa Muheza
2026-10-05 14:11:30
0
Minza💦❤️ ACTRESS :
daaah pole sana broo🥺
2026-10-05 13:55:47
0
payrottupa :
one time zugaga na kidaga akileta aina inamtia bisu la moyo
2026-10-05 13:55:51
0
omary omary- :
🙏🙏🙏Bora umerinda kka
2026-10-05 11:22:19
0
laizertz :
2026-10-05 12:25:59
0
KUKU FARM PRODUCTION :
🙏🙏
2026-10-05 12:50:59
0
muddy 😎 :
Daaah umeulinda snaaaaaa mzigo wako
2026-10-05 13:15:38
0
My Nor :
kumbe kaka angu muheza majengo mtaani kwetu
2026-10-05 13:33:51
0
vivian :
jamani mungu tusaidie kwenye hili🥺🥺🥺pole kaka
2026-10-05 14:42:58
0
Cal :
🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-05 10:24:44
0
To see more videos from user @55mungukwanza2, please go to the Tikwm
homepage.