mi nimkorofi ila kwa hili ameniotea[Tears of joy][Tears of joy]vita bado mbichiii [Tears of joy][Tears of joy]mpareee ajipange mama akipona lazima kisas kilpwe[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 13:02:07
0
dynatrez :
😂 Ila hapo anasema aliniotea hili halijaisha niamini Mimi
2026-10-05 09:35:43
13
Sakis tz :
Poleee sanaaa, Mimi ndoaa ilinishindaa nikachokaaa nilivoona na kuna dalili nikawaamuaa kuondokaaaa mapemaaa, singleee mother na nafurahaa atariii
2026-10-05 09:47:08
2
Aika :
Kwani mapenzi nini jamn
2026-10-05 11:32:00
1
lista Jackson🍎🩵 :
Kwakina ndoa kuna mengi jmn 🙌
2026-10-05 08:32:32
2
kuruthumumakongoc :
pole Sana mwanamke mwenzangu mshukuru Mwenyezi Mungu umepona
2026-10-05 11:17:48
1
Neyla :
Duuuh hv kwenye ndoa kuna nn jmn Mungu atusaidie
2026-10-05 11:50:29
2
Nafsa Hamis :
oleweni tuu jmn mim akaaa
2026-10-05 08:34:46
2
jadesa :
ukiolewa manake ni mapenzi ni kifo saa yoyote
2026-10-05 13:16:48
0
Aisha :
ndio maana nimelitoroka lile lishetan
2026-10-05 13:21:05
0
Neey❣️❣️❣️ :
pole sana alafu utakuta mtu anakuambhia wanaume niwakuhurumiwa
2026-10-05 10:41:51
1
pius :
jaman pole.sana dada
2026-10-05 08:51:20
1
Namieli❤️ :
Udhalilishaji why mparee na sio mtu mmoja km sk zote mnavyo andikaga
2026-10-05 13:25:11
0
Moonlight :
Mimi staki kbsa yan stakiii, pole mama utapona mbona usiogope
2026-10-05 12:57:38
0
Tall mnyama :
yaaan Mimi mwenyew ni mkorofi ila aliniotea
2026-10-05 13:02:40
0
Mama Moureen🥰 :
pole Sana my sister urudi tu nyumbani kina matemu bado tunakupenda
2026-10-05 13:24:24
0
Mary Temu :
😭😭😭😭 pole sana kipenz inauma sana
2026-10-05 12:42:15
0
Aishaa Hassani :
mmmmh pole sana my dear mungu akuponye mim niliona dalili nikaondoka sijasubir yanikute
2026-10-05 09:29:04
0
Odo mai :
inauma sana hivi hawa WANAUME Wana nini jamani
2026-10-05 11:57:07
0
user7927671198768 :
jmn pole mama angu,Mungu akusaidie upone na ureje kwenye Hali yako ya kawaida
2026-10-05 10:47:31
0
zaytunpatrick :
mm nmemkimbia jaman na wtoto nmewaacha wawili nmeokoa roho yangu wtt watakuja kanitafuta aisee wee hapa hajui nilipo
2026-10-05 13:30:52
0
fatma🥰 :
ndoa Kuna kuotewana tena mitano tena 😳
2026-10-05 12:35:36
0
magreth :
daaaaa aisee pole sana
2026-10-05 10:48:51
0
Elly :
Yani nimetoka kuangalia harusi sasa ivi,nakatamani kidgo napatana na haya mmmh 😳😳😳
2026-10-05 11:44:06
0
Julius Gekene :
huyu sio wakupa pole make amesha tangaz vita akipona
2026-10-05 11:41:59
1
To see more videos from user @bele_9tz, please go to the Tikwm
homepage.