Leader anaimbagavkwa sauti ya kwanza na si nyingine wapendwa …Mungu ni mwema tu hajahama key kwahiyo sauti aliyoimbia…najua aliogopa kuumia kooo maana sauti ingekuwa juu by the way Mungu awabariki
2026-10-05 08:47:18
5
joycemakori74 :
mmependeza jmn mmevaa kwa heshima BWANA awazidishee 🙏
2026-10-08 18:03:32
2
Catukeyz :
Groove🔥🔥🔥🔥
2026-10-05 17:30:11
3
✨am_winner🖤 :
Namuona bassist alikuaga prime minister shulen kwetu😁😁😁🔥🔥🔥nishamsahau jina sijui frank mi ata sijui
2026-10-05 18:51:42
6
K.I.N.G K.I.M.M.Y :
lakini mbona Naona wako sawa kabisa 💯
2026-10-05 12:48:17
4
lusajo angel :
nimebarikiwa☺️😊
2026-10-05 20:16:46
3
Sophisticated💰 :
me sijaelewa hii nyimbo watu wanaichukia kwa sababu gani mbona wameimba poa sana guys chuki binafsi mwingine ukimuuliza why anaichukia Hana sababu WALOKOLE TUACHE KUFANYA VITU KWA HISIA BINAFSI watu wanataka ziimbwe nyimbo za akina Dunken au worshippers wengine halafu wengi wanaomgozwa na hisia wakati wa kuimba wanalia ila sio kuguswa na Roho mtakatifu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] wanakumbuka shida zao wanalia ndo madhara yake haya zikiimbwa nyimbo za hivi unasikia hazina upako we jiandae kiibada halafu huu wimbo uimbwe utaguswa tu ila kwa sababu hawajaba nyimbo ya kuwaliza[Tears of joy][Tears of joy] mnaona mbaya
anyways naomba sababu 3 kuu za kusema huu wimbo sio wa kuimba !!?
2026-10-05 15:31:13
7
Magreth :
huyu dada yupo simple sana hata anavyoimba tuu
2026-10-05 09:49:43
5
Jacque111 :
I dont know ila naona wameimba vizuri😍
2026-10-05 14:24:43
14
village man 🏅⛑️ :
sema wewe dada🙌mungu akutunze jaman
2026-10-08 12:25:25
1
Alice M lopez🇧🇮🇨🇩🇸🇦🇮🇶 :
🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️Bila wew baba 🙌 🥰🥰🥰🥰
2026-10-06 19:07:17
1
Gunnar_boone🐶 :
basist umeuwa
2026-10-06 17:16:28
1
Alpha&Omega cleaner Dodoma Tz :
leader good voice ongeza nguvu kidogo tu ila 🔥🔥 waitikiaji 👋👋👋
2026-10-06 12:41:48
3
Nemadorry :
mbona ameimba vizuri jamni na hajatumia nguvu sauti nzuri wameitikia vizuri 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰