@mt_rita_wa_kashia: Mwaka 1917 watoto watatu Lucia, Francisco na Jacinta walidai kumuona mwanamke mwenye mwanga katika eneo la Cova da Iria, Fatima nchini Ureno. Tukio hilo likawa mwanzo wa simulizi kubwa kuhusu sala, toba na kumrudia Mungu ambalo limeendelea kusimuliwa kwa zaidi ya karne moja.
sisi wanao wa dunia tukumbuke maneno aliyo sema bikira maria,alipowatokea watoto wa Fatima Lucia Francisco na Jacinta, alisema tusali,tusali rosary tupate amani,na tuwaombee wale wakosefu wasio na mwombezi
2026-10-05 22:43:59
0
bakaye guyo :
mama bikira Maria utuombee
2026-10-05 20:26:54
0
Aquirna ezekiel @ :
mama maria utuombee 🙏🙏
2026-10-05 19:23:01
0
Picious🌹 :
Nakupenda daima Mama Ritha wa kashia uniombee❣️💯
2026-10-05 10:18:18
0
To see more videos from user @mt_rita_wa_kashia, please go to the Tikwm
homepage.