@islamicswahilinet: KWANINI UNANUNUA MOTO WAKATI PEPO YA ALLAH NI BURE! Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Monday 05 October 2026 07:25:55 GMT
Music
Download
Comments
Omar Mukabana :
Astaghafurillah
2026-10-05 07:52:45
2
Muhammad Ali :
Allah Akbar
2026-10-05 07:30:44
1
TYNAAH Muslim🧕🎇🕌 :
Ya Rabbi tujalie maovu.
2026-10-05 09:17:17
0
SALIM RASHIDI🎧🎙 :
Innalinllah wainna illah rajiun
2026-10-05 11:41:35
0
UmmuhRuqaiya :
SubuhnaAllha
2026-10-05 12:46:35
0
Mwene Andeni NGO :
Ya Allah 🙏
2026-10-05 09:29:26
0
Yussuf78 :
SubhanAllah
2026-10-05 10:22:26
0
ummu ridhwan :
barakallahu fikum sheikh wetu
2026-10-05 11:32:32
0
Athumani mwira :
Alhamdulilah
2026-10-05 11:35:10
0
Mulunda Juma :
astagfirrullah
2026-10-05 11:46:45
0
Amina :
nikweli kabisa
2026-10-05 10:32:29
0
Byamungu Jackson :
Allah Akbar
2026-10-05 07:30:02
0
user6120530284946 :
Allah akukipe khery sheykh🥰
2026-10-05 09:15:29
0
Makkah Hajjat Hajia Hussein :
Alhamdulillah
2026-10-05 08:40:52
0
hemed hizza :
Allah akilinde na hasad
2026-10-05 08:36:00
0
@sango_midundo :
mashaallah
2026-10-05 09:19:32
0
Fawzan :
allahu akbar
2026-10-05 08:18:51
0
m :
Allah akbar
2026-10-05 12:14:35
0
Salha 🌹🇹🇿 :
ALLAH atujalie mwisho mwema 🤲😢
2026-10-05 13:01:06
0
S24 :
Ukweli mtupu 🥹
2026-10-05 07:56:51
0
Sululu Zungu Store :
😭
2026-10-05 11:45:40
0
lakam :
😳🤔🤔
2026-10-05 11:48:09
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.