@green.empire4: Hii ni limao aina ya Mayer Lemon Ni moja ya limao inayopendwa sana kwenye soko la dunia Na uwepo wa matunda kwenye limao hii ni uthibitisho kwamba tumetumia kikonyo (scions) imara kutoka kwa mti wa Mayer Lemon uliokomaa vizuri na kuzaa matunda mara nyingi zaidi hivyo mmea umebeba tabia zile zile za Mti huo ndio maana unazaa mapema Na hiyo ndiyo faida ya Budding (ubebeshaji wa miti) Scions/vikonyo vya mti huu tumevitoa moja kwa moja kutoka Kenya 🇰🇪 Mche wenye ukubwa huo utaupata kwa Tsh 12,000/= Tu na mche mdogo kwa huu utaupata kwa Tsh 7000/= Tu Call |SmS |WhatsApp 0760632288, Lihawa NB:- Limao hizo tumeacha zizae ikiwa ni uthibitisho ya kuwa miti ya Budding/grafting ni ya muda mfupi kwako usiruhusu mti uzae ukiwa bado mdogo ili uwekezaji nguvu kwenye kutengeneza shina imara na mizizi imara ili msimu unaofuata uzae kwa wingi zaidi