nilimvumilia mwanaume miaka 4 na bd akaenda kuoa mwanamke mwengine ,mungu kaniletea wenye kheri na mm mwezi wa 5 tukijaaliwa naolew inshaallah🥰
2026-10-05 13:39:01
17
official irene🤍 :
mimi mpez wangu kashatoa posa kwa kwamtu mwingin anaowa mwezi wa 12 ananiambia eti niwe mchepuko wake nais kuzimia😭
2026-10-05 13:10:03
20
Mu❤️ :
serikali ingeruhusu kila mtu amiliki bukundi Yale 🥺
2026-10-05 15:17:02
2
shorbinah harshy💝💝 :
Now mm na mapenz hapan namuachia mwenyez mung tu labda huyu co wang anaondoka na akirud ananipa matumaini ya kunioa halaf atakaa wee atabadirika tena najihc nimechoka labda mm co sahihi kwake nimeamua kukaa kimy now clii maan nililia sana kwa ajiri yake cjh nimezoea hata sielew ila naamin chaguo la mung inshaallah nitampat wang🥺🤲
2026-10-05 14:55:11
6
🦋Ashmay cute🦋🇴🇲 :
daah amefany mpak mm pia nalia sijui kwann🥹🥹
2026-10-05 10:40:24
5
Sasha Money🌺 :
ayaja wahi kumuacha mtu salama 💔🥹
2026-10-05 13:29:08
12
Fah.dimple.family :
Alafu unakuta mijanaume au mi wanawake wengine inaspoti eti hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja au akisaliti mwanamke inauma sana bora asaliti mwanaume loh kwanini isiwe wao wasiumie maana wanamioyo migumu mapenzi yanauma haijalishi wakike au wakiume
2026-10-05 16:42:10
1
Rehema mzungu :
nyie nipen kiti nikae niliee kwaza popote ulipo nimekusamee NAMI mung atanipa sahihi kwangu😭
2026-10-05 14:29:01
2
Choosen one 🦋😇🥰🫡🙏🏻 :
nililiaga hv mara myimg zisizohesabika 😭
2026-10-05 17:17:21
0
Cute love cosmetics🥰 :
Nikikumbuka nishawahi hadi kuwekewa mashine yakupumulia kisa mapenzi😏🙌
2026-10-05 11:29:16
5
Nasra Juma :
nimeshindwa kujizuia nimelia🤦
2026-10-05 12:52:01
1
Nayfat :
na muelewa bora wamuache alie aongeevpeke yake alafu anyamazee iyo ndo dawa
2026-10-05 10:50:24
5
salha117 :
so sad
2026-10-05 12:03:16
1
Ayra Qabeel 🦋 :
Omba yasikukute 🥹💔
2026-10-05 16:04:25
1
mwana tz :
2026-10-05 12:00:12
1
official irene🤍 :
nimeaza kwend kanisan sababu ya kuachwa mapez apana
2026-10-05 13:10:59
1
baby girl 💓🦋 :
nikikumbuka nshawahi lazwa kisa mapenz nachoka mm
2026-10-05 13:04:56
3
❤️Ms dejaah❤️ :
2026-10-05 11:25:00
0
💛💛sweety ❤️❤️ :
wallah umenikumbusha maumivu ambayo siwezi kujasahau kabc ktk maisha yangu yote.......naumia jamani mwenzen🥺💔🥹
2026-10-05 14:43:55
2
To see more videos from user @huwalkin, please go to the Tikwm
homepage.