@jambotv_: Shabiki wa Klabu ya Yanga @captainkizingaajr amesema Mashabiki wa Simba wakiongozwa na Msemaji wao @ahmedally wana roho ngumu sana kutokana na kuwa na uwezo wa kuendelea kuwa na mdomo licha ya kufungwa mara kwa mara na Klabu ya Yanga. Ameyasema hayo akizungumza na Jambo Tv ambapo Kizinga amesisitiza kuwa roho ngumu waliyo nayo wanaweza kuishi hata motoni kutokana na namna ambavyo hata wafungweje bado wataendelea kuongea tu. Full Video ipo YouTube Jambo Tv.

Jambo TV
Jambo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 07:48:48 GMT
196363
12600
500
233

Music

Download

Comments

zenajela0
zenajela :
bila shak simba wote n group O+ maan tunajikubal san
2026-10-11 08:43:45
343
ilraf87
Peach🌝 :
hatuangalii kilichopita tunaangalia Sasa weeeee
2026-10-11 06:10:43
122
hassan.omary.tz
Hk 6% :
anachoongea nikweli simba ndo timu yenye mashabiki bora wanaojua mpira mana mpila unamatokeo matatu yote ni matokeo tunaishi nayo tuu
2026-10-05 09:12:02
154
usernellyadam
nelly :
𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐢𝐭𝐨𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐥𝐢𝐛𝐚𝐬𝐞 𝐦𝐩𝐚𝐧𝐳𝐮 𝐦𝐚𝐞𝐦𝐚🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-10 23:20:21
19
user4758866814136
Aggy 🔥🔥 :
Wana Simba tunahitaj ulinzi jaman 🥰🥰🥰
2026-10-11 03:50:37
104
sarah.sarah1234tz
sarah🌹🤫✌️ :
ndy kitu pekee mungu alitubariki🤣🤣
2026-10-11 07:35:00
41
_james_patson
James patison :
🤣🤣 🤣🤣 iyo lini iyoooo
2026-10-11 11:49:25
21
dizzo0183
DIZZO @ 01 :
Libasse moto [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 10:37:30
17
user3067930307339
baby :
iyo lini iyo
2026-10-12 07:00:19
10
user225684454908
kajma :
roho ngumu tunayo🤣🤣🥰 iyo leo iyoooo
2026-10-10 19:41:44
19
mr.m17087
Mr M :
tuko pamoja na chama letu simba dam
2026-10-05 11:03:51
18
irenekidoti89
Irene Kidoti@89 :
😁😁😁roho yetu ngumu ndo imetusaidia tumeshinda sasa...bro jitahid kama una demu simba basi tafuta utanishukuru sanaaa ssi ni wavumilivu sanaaa
2026-10-11 22:41:32
11
user46054221420327
laurencia :
achana na Hilo Leo nimerudia kuangalia mechi ya jana yanga bado wanaludia makosa yaleyale
2026-10-11 11:27:41
9
fatuma.tungu
Fatuma Tungu :
tunaishi na sumu pia tunakunywa hatufi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 09:56:46
5
user9245850491831
Peter Rashid mwakambonja :
Siri ipo ivi uvumilivu dam yetu ndio timu yetu SIMBA SPORTS
2026-10-11 08:01:23
10
jeff.kitundu
Jeff Kitundu :
90% kwa 10% imefanya kazi haijafanya kazi
2026-10-11 18:07:45
5
khamaly00
kham :
so roho ngumu ni watu tuh tuna upendo na timu yetu
2026-10-08 20:56:45
7
geeave
geeave :
mbn yanga ndio wanaongea sana 😁😁😁
2026-10-05 10:36:35
5
happy.keneth
Happy Keneth :
😂😂😂😂😂 na bado amjasema
2026-10-05 10:33:08
6
kendp71
♡♡kendp♡♡ :
Ndyo tunaishi moton ss
2026-10-11 14:56:00
8
charlesnyabaramor
Charles Nyabara (Morega) :
2-1 vipi hapo
2026-10-10 19:25:13
6
nen..001
001 :
👍👍👍👍
2026-10-10 20:34:59
2
user.lissu.ezekiel
user Lissu Ezekiel :
Hizo 10% si umeziona lakini?
2026-10-15 15:52:23
0
jesca.malata
Jesca Malata :
sisi tuna roho ngumu mojawapo mimi
2026-10-21 14:30:40
1
user2445433915824
user2445433915824 :
𝙨𝙞𝙨𝙞 𝙣𝙙𝙤 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙨𝙞𝙢𝙗𝙖 𝙜𝙧𝙤𝙪𝙥 0 🤣🤣🤣
2026-10-12 05:11:13
1
To see more videos from user @jambotv_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About