mm naolewa lkn na mm nina mipango yangu nitampiga tukio walai astaghafirullah maana aliyonifanyia mungu ajuae😂😂😂
2026-10-05 10:00:15
22
umm❤️Adnan :
may Allah make it easy for all married women out there 😭
2026-10-06 05:40:19
1
babygarl :
ngoja niweke stutus maan ni mie kbsaa atajuwa mwwnyewe uko.
2026-10-05 12:22:31
24
hamisaabdulhamid5 :
mbona kama nimekutuma😳
2026-10-05 10:50:14
12
vahukaye :
ni mimi kbx mh kaka[Crying][Crying][Crying]
2026-10-05 18:30:30
3
shamlat :
nipe number yko shekh
2026-10-06 09:33:46
1
mirnahubby :
Kusalitiwa ni salitiwe mm bado mm ndo nionekane adui kila kukicha ugomvi naonekana mjinga mm kwa kila kitu bado na mimba yangu nateseka mm😭😭
2026-10-06 12:45:54
6
Bahati Evaristo :
Allah akulinde
2026-10-06 04:58:25
1
grapes🍇🍇🍇 :
Asante shehe
2026-10-05 18:28:56
0
user7860993081860 :
samahan nimetoka nje ya mada naomba nisaidie utoe na elimu ya wakwe kuwabeba mahawara wa wtt wao kisa wamezaa nje ya ndoa kwaiyo mm nilieolewa ndo nakomolewa wtt wng sio ilawahawara ndo kpnz chao hawara analala chumban kwa mkwe wng mm naishi kwa wtoto tu
2026-10-05 13:41:12
8
razia mod :
😭😭😭😭najutaaa
2026-10-07 08:22:55
1
khadijatandiko2 :
hapo unaniongelea mm shehe nayapitia hayo wote hata sijui nifanyeje
2026-10-05 12:05:53
12
pretty zay :
Natamani kuweka status ila naogopa😆
2026-10-05 15:24:24
8
sauka yasini :
mungu akulinde kaka huu wakati ndo napita ni sito mlipiz smzarau ila atalipa fidia ya machungu yangu
2026-10-06 13:12:36
1
Hayyam :
Yaaap ni kweli kabisaaaaa allah atupe subraa tunamuachia mungu Tu sie naamini mungu atanilipia
2026-10-05 11:46:10
6
Avianpernado :
huyu n mmi sahizi Hadi nimechoka nashindwa nifanye nn
2026-10-06 08:00:00
1
Zuuh🦋💕 :
mm uyo yaan navumilia mpaka navumilia tena nishaulin nisepe au nifanyaje mm😔😔
2026-10-05 19:09:15
1
ummy_athman :
Yaani anagusa Hali ya Wanawake wengi Sana kwenye ndoa
2026-10-07 03:24:10
1
mimah baibe 💞 :
wanaume badilikeni ... comments kila mwanamke anasema anapitia haya😭😭😭
2026-10-05 19:38:01
2
Ms Lucy :
Mimi ananitesa kisa nina watoto wa kike tu
2026-10-06 14:21:00
2
daruu :
yamenikuta kk hayo yote nimepitia
2026-10-05 20:09:15
2
Sada sulula :
Allah akuifadhi sana sheykh.
2026-10-06 20:00:17
0
eshery14 :
ahsanteee Kwa kuweka wazi maisha yangu 🙏🙏
2026-10-06 06:53:18
2
To see more videos from user @abdallahmsemaji, please go to the Tikwm
homepage.