@licado.page: PACHA RESTAURANT & FAST FOOD – LADHA BORA, BEI RAFIKI Unatafuta chakula kitamu, bora na kwa bei rafiki? Karibu Pacha Restaurant & Fast Food kwa huduma bora ya chakula chenye ladha na ubora unaostahili. Wunapatikana Pangani Mjini, Mtaa wa Mkongani. Simu No. +255 713 886 430 Tunafungua rasmi kesho, tarehe 06 Oktoba 2026. Karibu Pacha Restaurant & Fast Food Ladha nzuri, huduma bora na bei rafiki kwa kila mteja. #licadoupdats #WekezaPangani