daaa binadamu wabaya sana bint yangu alikua na akili sana fom six alipata one ya 7 akapangiwa chuo kikuu UDSM kumbe watu walikua hawapendi katupiwa pombe hajamaliza hata chuo kafa ana mwez 4 chini
2026-10-05 12:17:16
3
Sileena Tanzania :
weee hakuna takataka itagusa mwanangu mie mwenyewe watu wananiogopa wanangu hawaguswi tatizo wazaz tunapuuzia kuombea watot na kuwanenea maneno ya ulinz
2026-10-05 10:00:01
6
Tonyhustle2 :
fact broo
2026-10-05 10:51:23
0
my reby :
huy mama Mungu ame adhabu yake
then Mungu amlinde huy mtoto
mungu aliye mpa icho kipaji hawezi ruhusu mtu yoyote kumdhuru kamwe
2026-10-05 10:03:23
2
rehema thomas :
kwanza munguazidi kumwinua huyu mtoto amzungushie ulinzi ila huyo mam mungu usinyamaze kile alicho fanya kimludie mara saba yeye na uzao wake🙏🙏🙏
2026-10-05 09:48:49
7
Anyisile :
danadana tu hizo Mtu hawezi kuiba talata za Mtu kweupe namna hiyo is just social blah blah and daily drama
2026-10-05 11:40:08
0
homie🍒🇳🇬 :
nilikutana na video yake last week
2026-10-05 12:23:27
2
OFFICIAL Elvin🥰 :
mm bibi angu kizaa mama kipindi nimejifungua mwanang wakiume alilazimisha san kumfungua mwanangu mikono ukwel sikupenda had leo nimaadui hat wakalibu wanaweza kuhalibu hatim zetu
2026-10-05 10:37:23
1
Glory wa Yesu :
kristo amtunze
2026-10-05 11:00:29
1
Queen008 :
ndio kila mtu amekuja na package yake maalumu namtukuza Mungu kanisa ninalosali limenfanya nijue mimi hatima yangu
2026-10-05 10:10:03
1
Neskey :
kweli kaka
2026-10-05 09:51:22
1
chimama :
Amina
2026-10-05 12:37:13
0
Atieno💘💘 :
Amen
2026-10-05 12:03:50
0
rebecamollel5 :
Waooo
2026-10-05 12:09:05
0
|Son ⭕️f Man| :
Good.
2026-10-05 12:13:43
0
Mzee kijana8 :
kama kipawa amepewa na Mungu mwanadam hata afanye nn hawezi kubadirosha kile alicho kitoa Mungu
2026-10-05 13:30:34
0
user6289869373966elizabeth :
bora walimkamata daaa
2026-10-05 12:44:55
0
Joy 👩 :
ila watu wengine aiseee🥲
2026-10-05 13:23:33
0
Kansime chance :
Merci
2026-10-05 10:35:46
0
To see more videos from user @daudilugusitz, please go to the Tikwm
homepage.