I believe in God.. the creator of heaven and earth.siwezi roga mmi
2026-10-05 10:17:11
0
w.a.n.g.u.i_54 :
God have mercy
2026-10-05 13:37:41
0
Suzie kariuki :
utapata n mtu WA familia alimfanyia hivyo
2026-10-05 10:28:42
50
shreednho :
very sad
2026-10-05 09:15:58
0
Anto stopa :
kuita watu kwa graduation ni watatu mum dada na bibi ya bro tosha
2026-10-05 11:53:23
12
jomba :
ndio sababu niliachia class2 😭
2026-10-05 12:07:44
7
Eng. langat Ish :
one day God will show up to people that he was watching us from heaven na watu wengi hawataamini kbsa
2026-10-05 11:17:20
0
cicilia Njoki :
ooooh my good GOD 🙏
2026-10-05 11:21:41
2
mercysalonkiriaini salon :
mungu tenda jambo
2026-10-05 09:47:32
2
Zacharia njoroge :
Masomo ya siku hizi hakuna wakiona unaederea vizuri wanakuroga
2026-10-05 17:37:44
4
Purity Kaithia :
mpeleke kwa Clinton na atasaindiwa
2026-10-05 17:52:02
0
Ariana catieana :
Aki mbn mtu afanyie mtu mwingine hivi
2026-10-05 14:30:54
1
irine ongach :
watu c wazuri
2026-10-05 16:36:24
1
shickz💫🤍 :
Pole sana kwake
2026-10-05 12:05:12
0
ginger ale :
woooi ni wa wapi?
2026-10-05 13:03:16
1
Dj :
wacha mimi na wetangula tuanguke tu
2026-10-05 17:28:49
0
mama sweetie :
bna anakaa bro yangu alitea n wawapi n anaitwa ajy
2026-10-05 09:56:34
0
Brian odongo :
uyo ni rafiki wangu sana wow😂🤣🤣
2026-10-05 13:38:29
1
Shiko :
Hii ni watu wa familia tu walimfanyia hivo, those people are very wicked
2026-10-05 13:29:22
1
sharon wekesa6 :
Pole sana bro mungu akuponye
2026-10-05 19:22:24
1
Magdaniel🇰🇪🩷 :
Mimi ata awajui kama nligraduate😂only my mom and my brothers dad juzi alinipigia kuniuliza nagraduate lini 😂na najua alikuwa anataka ili aambie hao watu wao vyenye wanatuchukia lakini dad loves them
2026-10-05 15:22:59
3
moh :
saa mbona watu wako hivi sasa 🙄🙄
2026-10-05 10:08:37
1
To see more videos from user @safaragathimiti1, please go to the Tikwm
homepage.