@jonstarofficial: Tunda (Original Version) Enzi hizo TamTam walitupa vitu adimu hatariii miaka ya 2000.. Muumini alitisha sana hapa 🙌🏽 Video Production: ITV #sisitumeanza #daima #nostalgia
Nliona wanajua kucheza hatar[Snicker][Tears of joy]
2026-10-05 13:09:47
0
Phiyer Ramsey :
mwaka 2000 nkiwa na miaka 5 nlitoroka nyumbn na watoto wenzangu tukaenda sterio temeke kuokota vitu vya kupikapika tumefika tukakuta gari ya matangazo inapigwa nyimbo hii unapandishwa unacheza unapewa zawadi ya kalenda 😂😂😂 we ndugu yenu nkapanda wacha nioneshe kipaji pale😂😂😂nkapewa zawad tukasahau ata safar yetu tukachelewa kurud nyumbn 😂😂😂 kufika hom nlizichezea zakutosha dah...😂😂😂 nkisikia hii nyimbo nakumbuka zile fimbo 🙌🙌
2026-10-05 12:09:44
8
njeranice255 :
Waenga tujuane hapa jamani tunda ntalupataje tunda 🥰
2026-10-05 10:31:20
15
Dada Ruh :
hapa nilikuwa naona mwijuma kama anapgakelele lkn asaiv najua nn alimanisha mapenz manina sana😁😁
2026-10-05 14:36:32
1
lady fina :
mwijuma katika ubora wako kaka uko wapi jamani tumekumic sana tamutamu
2026-10-05 10:40:12
1
Kadiga Ali :
umenikumbusha mbali
2026-10-05 09:27:23
5
user50094851902187sariro :
plz niwekee ya chid benz daresalam bila kinkong nitaenjoy
2026-10-05 16:03:04
1
AK47 🇹🇿 :
Hizi nyimbo hata youtube hazipatikani wazee
2026-10-05 10:55:01
2
mama mtu🌹❤ :
ezi hizo nilikuwa sijui chochote sasa ndo naelewa maana yake sasa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] uwimbo
2026-10-05 15:55:48
1
Annastazia Vedastus :
dada yangu Amina ngalima mungu akupunguzie adhabu yakabur🙏
2026-10-05 15:21:38
1
Baraka Mtulia :
inaitwaje hii nyimbo
2026-10-05 08:34:54
2
Mauzo ride👀🏍🛣 :
mwinjuma dah kitambo sana😁
2026-10-05 11:12:11
2
TATA BM🦅🇹🇿(Newman) :
HATAR SANA HAPA NILIKUWA SIJUI MAPENZI NI KITU GANI[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]