@ngoshaalex: Kiswahili cha kanda ya ziwa na Dar ongeza neno unalolijua 🎥 @𝐊𝐀𝐋𝐈𝐃

Ngoshaa
Ngoshaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 08:41:06 GMT
158046
14263
1152
446

Music

Download

Comments

amosmarwa693
The rapper from bunda mara Tz :
wakanda ya ziwa tujuwane bax🤣🤣🤣🤣
2026-10-05 09:29:25
803
levis_t1
Levi's :
iyo magwambala ndio sawa
2026-10-05 13:17:18
0
bee_havanna
Bee_Havanna🥰 :
ety fugo.......
2026-10-05 19:04:58
0
helleny540
Helleny :
Wakanda ya. Ziwa oyeeeee
2026-10-05 18:25:28
0
deeee6587
🥀Da BONGE ❤️ :
😂😂😂😂😂😂Nitinde,omo,begi ukerewe,,sembo,fugo,amezira,magwambala,ngwala…😂😂😂😂😂😂kanda ya ziwa gather here
2026-10-05 09:34:56
164
hadija.emanuel
Hadija Emanuel :
wasukuma oooyeeeeeh
2026-10-05 19:32:29
0
officialoyuka1
OYUKA[wuod min aboy] :
umetuwakilisha vizuri sana ngoshaa😅
2026-10-05 10:22:12
68
call_her_mure
Mure❤ :
Hapo hapo kwenye magwambalaaaa
2026-10-05 09:23:52
67
princess.gee54
SheisGee🎁 :
Watu wa dar husema nyanya chungu sisi kanda ya ziwa tunaita matole😂😂
2026-10-05 12:03:59
41
evv_living
evv_living :
Utaskia “bandika fugo” au “unazira kula”?😂😂😂 missing my childhood moments
2026-10-05 15:17:36
1
glomin
Glomin🎀🧸 :
machacha sure kbs😹🙌
2026-10-05 19:31:04
0
user6657300624442
Mis Maah :
tailizi - kanda ya ziwa vigae dodoki - kanda ya ziwa mtego 🤣🤣🤣
2026-10-05 09:41:46
25
dr.ab3d.tz
Dr.ab3d :
Dar wanasema naomba kanda ya ziwa naombako
2026-10-05 09:55:12
20
freddy_osborn
Freddy MoG :
Tuwaulize dar MWAEGO wanasemaje wao😂😂
2026-10-05 13:13:16
9
user48404742994461
jayden28 :
mim nilivo fika dar niliwah kumwambia mtoto kula taratibu utanigwa wakanishangaa kunigwa ndio nn😅😅😅
2026-10-05 12:59:54
11
harun_danie
haruni_danie :
Dar- unga Nusu na robo Kanda ya ziwa- unga robo 3😂😂
2026-10-05 12:49:54
6
captain.erasmus
CAPTAIN :
Nipo upande wa kanda ya ziwa.
2026-10-05 09:45:33
55
mungiki_west
Nastah_traveller :
kwa sisi kanda ya ziwa tunaita fugo
2026-10-05 11:44:22
5
jackline.joseph.2
Jackie🥰🥰 :
kanda ya ziwa oyeeee😂😂😂
2026-10-05 09:16:52
11
marthapaul819
It's me Matty :
ndo hivyoo kabisaa hakuna upinga mizz mwanzaa
2026-10-05 09:30:27
7
jxk_jessy
sica🧸 :
Sisi wa dar tunaita kalamu ,sisi wa kanda ya ziwa tunaita biki😂😂
2026-10-05 11:48:29
14
sally2020_12
mumy 👖👗👗📌 :
DAR wanaita big j na KANDA YA ZIWA wanaita jojo
2026-10-05 09:32:43
35
user48060668465390
aminat :
ngosha umetisha
2026-10-05 09:28:05
7
kidonge_jokes25
kidonge jokes :
Nilipo fika Dar nilipata taabu sana kupata baadhi ya vitu dukan, badala ya Unga wa mhogo me niliulizia Unga wa udaga, na badala ya big G ama bablish, mi niliulizia Jojo 😅😅🙌🙌
2026-10-05 11:54:27
8
user8380273840341
benadetha :
nimecheka jaman ss wasukuma ndiyo tunavosemaga kwa kwel😅😅😅😅😂😂
2026-10-05 09:49:01
12
To see more videos from user @ngoshaalex, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About