@bashasha_tv: Msanii wa Bongofleva @mambadudubaya24 amemjibu na kutuma ujumbe kwa @dotto_magari na amesma kuwa endapo atamjibu basi mambo yatakuwa makubwa zaidi. #bashashatvupdates #bashashadigital #bashashamedia

bashasha_tv
bashasha_tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 08:43:40 GMT
87320
4959
188
293

Music

Download

Comments

janeththomas81
Janeth Thomas140 :
Ndaro njoo mwanasheria[Tears of joy][Tears of joy]mtej wako kaanz
2026-10-05 10:00:11
64
queen_naylah
Queen_Naylah :
Nilikua nasubir hii😂😂😂😂
2026-10-05 09:53:27
81
abuuubayda8
abuuubayda :
Kutaja taja watu ndo unapoharibu
2026-10-05 09:55:16
50
verryjohanes
very johanes :
Team dudu baya gonga like hapa
2026-10-05 10:20:16
123
sabali187
sabali187 :
Nmewaza sana Mwamba chid Benz Kwamba nn yan 😂
2026-10-05 09:38:40
59
jozee6573
jozee :
mchane tutalipa fain usiwaze
2026-10-05 09:46:00
18
skanxxx_dah_trapper
skanxxxdahsuneater :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 duuuuuuuh
2026-10-05 10:01:38
1
___.mercedes0
JAZMINE🥀 :
Nlisema comeback sio ya kitoto 😂😂😂
2026-10-05 11:04:49
9
emmanuel.robert293
mr chance :
hii vita spooooo[Tears of joy]
2026-10-05 09:56:24
0
stoms.bad
STOMS BAD🪴🤟 :
watch you back🥺🥺
2026-10-05 11:05:33
0
mchinamemesvibe0
china boe :
sawa puuttin[Tears of joy]
2026-10-05 09:55:12
0
jonnydefranco
Jonijoo :
hii haina comeback
2026-10-05 11:34:54
0
josephmsacky426
Joseph Msacky :
huu mwaka ni wa ndaro
2026-10-05 10:08:40
8
bmtz19
BEKA :
Hii vita ni kubwa San ya dotto magar
2026-10-05 09:50:57
13
jiga_parker
Parker06 :
Hii vita ndio tulikua tunaisubr😂😂😂
2026-10-05 10:09:26
12
shanimikidadi3
shanimikidadi :
mama weeeeee
2026-10-05 11:05:06
0
evod.massawe4
Evod Massawe :
hii ni baada ya dotto kumpokea anko t airport safi
2026-10-05 09:57:56
16
wildfish769
Wildfish :
baada ya shambulizi la Doto magari tulijua tu lazima kutakuwa na comeback ya Dudubaya
2026-10-05 10:01:40
7
cosmas.komba15
Cosmas Komba :
kwisha nukta iwekwe mana hawakuelewi leo umekamilisha zoezi kazi kwao
2026-10-05 09:48:06
7
tradermaryflorence
Tradermaryflorence :
lida mgongo 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
2026-10-05 09:12:23
5
ivanjr872
Tan Keem🇮🇱 :
Kuwaropokea watu hovyo ITAKUPELEKA JELA
2026-10-05 10:52:24
4
sheiscute84
sheiscute84 :
Imagine apo anaenda kuonana na waziri 😂😂
2026-10-05 11:12:17
2
james.bujiku3
James Bujiku :
jamn tushitukeni isikute yesu amerudi kupitia dudubaya
2026-10-05 11:12:21
1
tm.basa0
Tm Basa :
Akisikia yule mzalamo[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-05 10:43:00
1
To see more videos from user @bashasha_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About