Tangu nianze kukuona leo ndo nmeanza kukuelewa tunao mwelewa mwandambo tujuane
2026-10-05 12:05:33
27
dorli :
serikali haiamina usirikina
2026-10-05 12:44:01
18
samunge :
mzeeee kwa sasa umeanza kuongea vitu vya maana
2026-10-05 09:47:40
47
dadiux :
kila mtu afanye kilichomleta town
2026-11-17 19:31:13
2
B@r@k@ :
mzee leo kidogo umeongea point
2026-10-05 10:38:23
15
Yona brand📸 :
tunakubaliana na ww kak
2026-10-05 11:38:22
15
Athuman :
mzee ujasikia yeye mwenyewe anasema yeye ni kiongozi wachama na na serikali
2026-11-01 08:38:14
4
amini oga :
it's deeply point ☝️
2026-10-05 14:20:31
2
Queen mugoli :
Umeongeya point siku hii ya leo mzee🤣😂🤣😂
2026-10-05 11:16:02
3
uerwaridy💞💕 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 baba uko sahihi kabisa
2026-10-05 11:07:06
4
Jonasy Joseph :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙆🙆🙆🙆🙆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani alonishauli ninunue simu kubwa mungu anamuona
2026-10-05 17:00:02
2
KadwekaJr :
Alafu TRA wanamwangalia tu
2026-10-05 15:19:36
6
happy happy'b :
nashangaa Leo tumepata mtu mzima
2026-10-09 18:50:41
2
job :
Na choka mimi Clemence mwandambo😂😂
2026-10-08 15:28:17
2
Shaban Ramadhan :
wewe Mzee ipo pesa ya ushilikina ipo ila serikali haiusiki hapo
2026-10-07 20:48:14
2
Mirando :
hata Niko najiuliza Muzee wangu
2026-10-05 12:39:18
5
Happy Kiwelu :
tujue kwanza wewe zile content zako mbona umeacha??
2026-10-07 12:23:19
3
Tit4Tat :
Kiukweli leo umebonga jambo ambalo ata Mimi umenishinda maana Jana tulipokuwa na wewe ulinisaidia sana kuelewa kwa kina maana una akili ambayo yeyote anaweza kushinda mashindano ya kila upande wetu🤣🤣