@atuganilemwakosya:

ATUMEDIA GOSPEL TV
ATUMEDIA GOSPEL TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 09:07:01 GMT
23172
1529
131
103

Music

Download

Comments

_kibokoyao0
_Kiboko :
Razima tuwe na Wivu na Mungu wetu, razima Mungu apewe heshima anayostaili
2026-10-05 10:55:16
22
vweronicamtega
v😇 :
nikweli hii kitu ilikua kwa Daniel alishika mpaka nyazifa lakini lilipokuja swala la Mungu wake ilikua ni HAPANA
2026-10-05 14:52:25
9
safely131
Safe🫧 :
I was waiting for this SIR 👏💯
2026-10-05 13:09:19
0
greygreen437
grey green🎸 :
yesss Sir!🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-10-05 12:09:50
0
queenelton4
Deborah@27 :
HAPANAAAAAAAAAAAAAAAA FULLSTOP.
2026-10-05 11:50:56
0
daniel_nangonga
Daniel Nangonga :
Kwenye biashara labda ninunue kwake au anunue kwangu sio kushirikiana mtaji kufanya biashara moja.
2026-10-05 11:16:02
15
janethsamweli1
jath💐 :
tufunge mjadala kashamaliza
2026-10-05 10:22:27
29
dorcas.mwabenga
Dorcas Mwabenga :
Wew na Hakika Ruben ndo mmeeleweka vizur kabsa hat me mwanzon nilikuwa sielew nilikuwa naona kawaida
2026-10-05 11:39:10
21
matronashirima
Matty Underwearstore :
My pastor 📌📌
2026-10-05 11:19:43
0
madmox438
MARTINEZ-$ :
my best pastor ever [Heartwarming][Like]
2026-10-05 10:49:48
0
gorgeous_864
gorgeous_864 :
Mziki pia ni biashara😁😁
2026-10-05 11:49:54
3
mamu3621
mamu :
tunajitenga nao kwa jina la yesu
2026-10-05 09:37:40
13
mkwamila_c_c
Pastor M C C :
Na huo ndio msimamo wangu tangu awali. Tutashirikiana vingine ila sio madhabahuni
2026-10-05 11:20:37
20
ollies169
Divine🕊 daughter's👸 :
mimi nishachukiwa na wazee wangu kisa hiyo hapana
2026-10-05 11:20:15
4
johnnynyondo
|Son ⭕️f Man| :
Hii app yenyewe inawalakini lakini wanaitumia. 😂 Nicheke mimi.
2026-10-05 11:46:41
3
tecla.j
tecla j :
yeeeees baba umemalizaaaa
2026-10-05 11:10:06
0
momoh_beauty_bar
momoh_beauty_bar :
Kwann pastor asihamie dar 😭
2026-10-05 16:26:41
0
1993annajery
anna1234🇹🇿 :
Biashara pia ni madhabahu, sherehe pia ni madhabahu, harusi pia inamadhabau, so madhabahu kotekote kikubwa Mungu wako awe na nguvu kama siyo hata biashara Kuna madhabahu ya huyu Yesu, sherehe, Kuna sehemu kwenye Bible walishiriki tu chakula cha uhasi ukaingia ndani yao basi ndio wakamkosea Mungu so wanaweza Kuja madhabahu kanisa na akapatwa na nguvu ya Mungu kabisa inategemea Mungu wake Ana nguvu wa kuwashinda Ila siyoo hapana
2026-10-05 11:43:00
2
teclah0021
Tecla❤️🌹 :
Baba Kafunga mjadala Hapana ni Hapana yaani hapana
2026-10-05 10:48:30
5
adam0sborn001
AdamOsborn :
pastor vipi kuhusu kutumia radio zao katika vipindi vya dini ni hapana pia
2026-10-05 11:23:27
3
hurumamsinjili962
me as me 01 :
na kama Kila kitu kina madhabahu hapo vipi wakuu....ni katika harakati za kushare uelewa kindly
2026-10-05 11:24:12
0
barakakabage
BARAKA KABAGE :
HALLELUJAH HI NI KWELI NA TENA NI AMEEN
2026-10-05 11:33:57
3
johnmakojijo5
John Makojijo :
HAYA NDO MAJIBU SAHIHI[Pray]
2026-10-05 11:25:50
3
user5997983719962
Sarahstylish :
umefunga mjadala Pastor FredMsungu
2026-10-05 10:29:59
4
sir._adonis
Adonis Minga |SHIVO📈 :
Injiri [Power]
2026-10-05 13:43:30
2
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About