@islamicswahilinet: Neno "BIS'MILLAH" Lina Maana Gani KATIKA UISLAMU? Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Monday 05 October 2026 09:34:08 GMT
Music
Download
Comments
sanlizy122 :
Kwa jina la Allah.”
Na ukisema “Bismillāhir-Raḥmānir-Raḥīm” (بِسْمِ اللهِ الرَحْمٰنِ الرَحِيْمِ) maana yake ni:
“Kwa jina la Allah, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.” 🤲❤️
2026-10-05 10:16:42
174
Anifa Aut tinted :
Mimi ni mkirsto lakini na upendaa uislam na siwez shindwa swali kama ilo
2026-10-05 16:20:28
42
🦋❤️ Salmah🦋🎀🧕 :
kwajina la mwenyezi Mungu
2026-10-05 10:41:39
39
Said Shaaban :
Naanza kwa JINA la mwnyezimungu MWINGI WA rehem mwnye kurehemu
2026-10-05 10:55:03
18
Roshan :
In the Name of Allah swt.
2026-10-05 09:37:59
1
Mjuba Chuga :
kwanini lisitamkwe kwa kiswahili mpaka tu kiarabu?
2026-10-05 10:26:10
9
pot mxela :
kwa jin l mwenyz mungu
2026-10-05 19:14:41
6
denis asnaly :
naanza kwajina la Mungu
2026-10-05 18:14:36
7
💖هاجر 🎀 :
Kwajina La Mwenyez Mungu mwingi wa rehma na Mwenye kurehem
2026-10-05 09:39:57
16
ÄƁÜÜ 🌴KILENGA☝️ :
jamani tusome
2026-10-05 21:27:30
3
Amir sap Amir sap :
god god
2026-10-05 16:48:50
1
Samha :
Naanza kwa jina la allah
2026-10-05 19:32:15
3
Amina23 :
Kwajina la mwenyezi mungu
2026-10-05 10:08:57
7
cngle☣master🇹🇿 :
kwa jina la mungu mwingi wa rehma na mwenye kurehem
2026-10-05 11:16:20
6
queenqathra :
kwa jina la mwenyezi mungu
2026-10-05 09:50:27
5
Boku :
naanza kwa jina la mwenyezi mungu
2026-10-05 16:36:55
1
aminabinti66 :
kwa jina la mwenyezimungu
2026-10-05 15:12:10
2
ndauka599 :
shekhe nakikofia chake ajatoa tafsir yake allah atupe Iman yakujua din yetu[Pray][Pray]
2026-10-05 11:10:26
5
arasha :
kwajina la mwenyezi mungu
2026-10-05 11:17:39
3
ashaj :
kwajina la allah
2026-10-05 22:17:39
2
MG 26🎤 :
nanza na jina la mwenyezi mngu mwingi Warehema mwenye kurehem
2026-10-05 16:56:36
4
user6614062239322 :
KWA JINA LA M/MUNGU
2026-10-05 10:54:58
4
Ar Ally :
Tusome jamani tusome jamani elimu haina umri🔥
mumgu atuongoze zote Aamiin🤲🤲
2026-10-05 15:14:14
4
usermunira :
Kwa jina la mwenyezi Mungu
2026-10-05 12:08:27
4
kwa jina la mwenyezi Mungu
2026-10-05 18:07:29
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.