@call.2557981962016: #africa #drcongo #foryoupage #viralvideo #kinshasa🇨🇩

call +255798196201
call +255798196201
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 09:43:17 GMT
285992
9678
107
195

Music

Download

Comments

mariagdfyzs
Mary💖 :
hizo picha za watoto zinahusianaje na yeye
2026-10-06 16:00:22
16
dorrie023
Dorrie🦋❤ :
Hatariii katoto ka joyce singo mama umakin ni muhimu daah💔💔💔
2026-10-08 01:13:52
7
furahini10
livre d'Analyse@ :
tiktok tunacheka hata tukiwa na hasira
2026-10-06 05:23:12
19
janotkakule999
Janot :
miye niko tayari
2026-10-06 08:09:41
6
dewa28408
d model🎈💝 :
mm nae nakula dagaa na narizika cnah tamaa na pizaaa japo nazitamani ila ipo cku nitazila tu kwa hela yangu halali
2026-10-10 17:37:26
11
lusajo.mwaipopo
Mkulumba8724 :
maisha yakua pekeyako jumba kubwa unaishi pekeyako chakula kingi unakula pekeyako magari ya kifahari yote unatembelea pekeyako sasa una amanigani hapo.mimi naona utajiri wa kwanza ni amani.
2026-10-08 05:23:37
12
martha_daniel03
Martha daniel :
mngu nipe moyo wakulizika nakile nacho pata
2026-10-09 08:18:10
7
menezy12
menezy momy :
jamn katoto kalikua kazuri, ooooh au niko njeee ya mada vipenz
2026-10-06 13:50:14
6
teammajo3
one way :
sasa ana raha gani
2026-10-05 19:35:58
7
kinggaspard0
King gaspard :
Amani yupo kwa Yesu
2026-10-06 10:04:04
4
dadaone03
DA ANGE :
0k
2026-10-06 05:57:14
4
user60343671kalindia
mwana historia kalindia :
niko tayari
2026-10-05 21:29:37
3
daviesmayiekagmail.com
flexjesus :
alitoa Mtoto wake kijana
2026-10-05 18:44:39
4
user76739184056318
da :
bongo ile kuyitosheya wapi hio
2026-10-06 18:43:48
2
nabii.isaya
jasirri :
technologie 🤔😁
2026-10-06 13:13:47
2
sangala516
sangala :
Ok 😂🤣
2026-10-07 12:14:16
2
neemalupagalo
neemalupagalo :
mmh Bora nitafute Juani Cha halal kulik Cha mateso
2026-10-06 13:37:03
3
user3887018323427
Félix de Bendita :
atasssaaaa
2026-10-06 14:25:33
2
kandonga_pris
Priscar Ladies choice :
kwan aliwah kua na familia???
2026-10-11 10:26:44
0
mashir290
Dee💚💚💚Shirish255 :
Baada yakujiuliza mlipata jibu!!!
2026-10-09 12:44:47
1
victoriadedani
Victoria Dedani :
kak usiwaze maneno ya wat
2026-10-09 10:07:18
1
lamso.boy5
lamso boy :
kwni kafanyaje huyujamaa
2026-10-06 07:21:14
2
user2181204260886
marko :
nimoja ya close
2026-10-05 21:09:28
3
rodrickmlagha
Rodrick mlagha :
haya maishayanacode ngumu sana na kuzijua yahitaji roho mtakatifu but pole kaka nimekua kwenye maisha magumu yanayoumiza sana but mi naomba mungu akufanyie wepesi coz ni hatari
2026-10-06 08:01:27
4
user95727310567532
queen :
Sio kweli msiamini kila kitu kwenye mitandao bila ya evidence
2026-10-10 12:53:09
1
To see more videos from user @call.2557981962016, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About