@shebyranco: #HABARI: Mwili wa msichana Raiyan Hemed Amour, mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa Kwale Mpona, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, umeokotwa kichakani ukiwa umefariki, huku kiganja cha mkono wake mmoja kikiwa kimekatwa. Msichana huyo, ambaye alikuwa mwanafunzi na aliondoka nyumbani kuelekea shuleni siku ya Ijumaa, alidaiwa kutorejea nyumbani baada ya masomo. Baada ya kutoweka, mwili wake ulipatikana kichakani karibu na kijiji chao ukiwa umevaa sare za shule na ukiwa na jeraha kubwa kwenye mkono, ikiwemo kukatwa kwa kiganja. Tukio hilo limeibua hofu miongoni mwa wananchi, huku uchunguzi ukitarajiwa kufanyika ili kubaini chanzo cha kifo hicho na mazingira yaliyosababisha msichana huyo kupoteza maisha.
shebyranco
Region: TZ
Monday 05 October 2026 10:04:46 GMT
Music
Download
Comments
user7594949136227🥰Aisha🥰 :
Subhanalllha yaaa rabiii wajalie subra wazazi wake katika kipindi hiki 😭
2026-10-05 11:45:08
28
mimah 🥰 😍 :
Maskin 😭 😭
2026-10-05 11:52:22
1
yaya tu,re 7079 :
pole baba
2026-10-05 15:53:29
0
Mrs ayya :
poleni san wanafamiliya Allah awape subra Allah amrahamu raiyan
2026-10-05 11:32:33
11
munaa cute 😍 💓 :
innalilah wainna ilahrajioun 😭mungu awape subra familia 🙏na waliofanya unyama huwo mungu awabainishe
2026-10-05 13:00:47
11
Mimiiy Moh 💕 :
me kila post ya hii taarifa nikikutana nayo nalia😭😭😭😭yaan Allah awape subra familia yke 😭 Allahummah ghfrilaha warhamha maskanaha fill Jannah😭😭💔
2026-10-05 12:50:28
2
Mariam Abdul :
Allahumaghfiraha warhamha waskanha fi janat very sad indeed binaadam utu wetu uwap
2026-10-05 11:13:28
4
young malume :
poleni sana mungu atatusaidi kwa wote amina
2026-10-05 13:07:16
2
emy :
Poleni allah awap subra mlipaji hafi kubwa subra t
2026-10-05 14:24:46
1
feroozenomer 🥰 :
sijui chanzo chayote hayo n nn jmn🥺
2026-10-05 14:34:35
1
tauhda said :
wapi huko au kwale ya gombani
2026-10-05 14:12:14
1
mustwafa abuubakar :
serikali iko bize na kukamata boda boda asie na helmenti ila kesi za uhalifu kama hawazioni vile
2026-10-05 11:56:32
5
محمد سلوم الغيثي :
poleni sana pemba imefikia hapo hatari
2026-10-05 12:26:34
2
suleiman khamis abrahman :
allah akibar
2026-10-05 12:36:14
1
ALI .M. ALI :
poleni wafiwa ndio khatima yake
2026-10-05 12:10:27
1
judithmollel0 :
Labda n mambo ya ushirikina jaman😭😭😭😭😭😭mbona dunia chungu hiii jaman😭😭😭
2026-10-05 14:01:46
1
@mama zamzam001 :
polen sana
2026-10-05 12:37:48
1
hawaa Tunje :
subhannallah 😭
2026-10-05 12:29:55
1
hawa simbeye :
poleni sana ndugu 😭😭
2026-10-05 12:44:14
1
Maanam :
poleni sana Allah awape subra ktk kipindi hichi kigumu
2026-10-05 12:47:46
1
munaa :
poleni sana wafiwa... Allah awafanyie wepesi
2026-10-05 11:51:34
1
Ahmed Baga :
Inna lillahi wa Inna ilayhi raji'un
2026-10-05 12:00:21
1
Twins mamy 🔐❤️🩹 :
inna llillahi wainna illah rajiun
2026-10-05 12:06:58
1
Mastu🌹 :
Allah awape subra
2026-10-05 11:02:38
2
Mrs Varrny Boy ❤️ :
Poleni San Vipenzi Mung Atamuafuu Inshallah 🙏
2026-10-05 10:59:09
2
To see more videos from user @shebyranco, please go to the Tikwm
homepage.