mi nipofika TU huko najua ni matatu tuu ghafla nikaacha shule sahzi mimi ni doto magari
2026-10-05 13:47:49
11
rigorously :
izoo ni story bwanaa
2026-10-05 16:41:53
2
#u$tler :
usiseme ivo jaman uwiiiiii
2026-10-05 17:45:43
6
Che route :
Nilipokuwa natoka Iyunga Tech OLEVEL nachaguliwa Tosamaganga Boys ALEVEL Iringa PCB , Wale waliosoma namimi pale wanajua yule sister wa Catholic anatupiga GS kilikuwa kipindi kigumu sana kuhudhuria yaani natafuta Subsidiary S nihudhurie muda mwingi , bado Yule Teacher wa BAM walimtimua wale PURE kule wakamleta kwenye BAM , Sasa topic ya Intergrations na Differentiation alianza kutuingiza deep tukamkataa na sisi🤣🤣🤣🤣
2026-10-06 12:57:23
1
dee cute💘💘 :
usinikumbushe jau et daaah
2026-10-05 19:01:22
1
NexusNavigator :
Sio kweli,ndani ya somo moja topics ndio zinatofautisha either Biology 1&2 so hapo ony single subject,tofauti na O'level ambapo utafanya masomo ambayo hayana uhusiano
2026-10-06 02:15:33
0
usitumie pesa kama panya :
kweli umesema
2026-10-05 16:44:12
5
jaspasmom1 :
😂😂😂binti yangu kila wakati daftari limeisha kumbe ni masomo 10😂😂
2026-10-06 19:19:42
2
mama ayman :
😁😁😁😁😁 tusojua wote komenti hapa
2026-10-05 14:28:29
5
@shaykeem :
ehh now kuna accademic na historia na maadil😅
2026-10-05 15:59:46
5
user3161713659167 :
sie wengine tumejikuta tuna 10
2026-10-05 17:57:18
3
lizzy charming 🥰🤣 :
kaziaaaa😂
2026-10-05 16:17:06
3
MijoMijo :
Geography o level niliona physical Geography ni ngumu sana,,,nilivyoenda Advance nikapata mwalimu mzuri wa Geography 1 aisee niliipenda sanaa…Geography ndio somo pekee ukiangalia nje unapata majibu ya maswali
2026-10-06 05:47:44
3
eddy_tx :
Umesahau PE kaka
2026-10-05 14:29:27
3
Part part :
hahahaha noma cn
2026-10-05 14:36:35
2
Mawazo Noro :
heleni za nini
2026-10-05 17:03:52
1
Jamess thomas :
jamaan cyo pw
2026-10-05 16:56:37
1
Pado Mikongo :
Hii ni nouma sanaa
2026-10-05 13:13:59
2
manywele :
simuelewi kama mwenzao
2026-10-05 17:33:20
1
princebright61 :
2026-10-05 12:41:15
0
To see more videos from user @kichekotv01, please go to the Tikwm
homepage.