@anny.gal47: Mungu wangu, nakushukuru kwa moyo wangu wote. 🙏🏽❤️ Asante kwa kunipa nguvu, uzima na afya njema hadi siku hii ya leo. Kila siku ninapoamka na kuona bado niko hai, najua ni neema yako na upendo wako juu ya maisha yangu. 🥹🙏🏽 Asante kwa kunilinda, kuniongoza na kunipa nguvu hata katika nyakati ambazo nilihisi sina uwezo wa kuendelea. Hakika bila wewe mimi si kitu. ❤️ Leo sina mengi ya kusema zaidi ya kusema: ASANTE MUNGU WANGU. 🙏🏽✨ Endelea kunilinda, kunipa afya, nguvu, amani na baraka katika kila hatua ya maisha yangu. Maisha yangu yote nitakutukuza, kwa sababu wewe ndiye chanzo cha kila nilicho nacho. ❤️🙏🏽 MUNGU NI MWEMA, LEO NA SIKU ZOTE. 🙌🏽❤️ #MsAnna #fyppppppppppppppppppppppp

Ms Anna
Ms Anna
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 10:42:34 GMT
189
18
1
1

Music

Download

Comments

josephmakundi989
Joĥ :
✨✨✨🥰🥰🥰
2026-10-05 12:00:34
0
To see more videos from user @anny.gal47, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About