nabii Issa alikuta kifo cha Aina gani nataka kujua
2026-10-05 19:52:33
1
Miss Janneth :
mnagongana tumuelewe nan
2026-10-05 17:56:40
0
rehema thomas :
namuamini yesu anipae uzima wa roho yeye alie kufa kisha akafufuka alafu kunaalie kufa mpak leo yupo kabulini hanambingu ya kumpeleka mtu nae anangojea kam wengine yesu ni mwanzo na mwisho na ninjia ya kumwona mungu
2026-10-05 19:50:38
0
Al-magram Fuad :
hakuwa kufaa nabii issah ipo wazi kabisa katika qur'an sasa mnapishana vp surat maryam
2026-10-05 13:32:31
4
Al-magram Fuad :
swali langu kwenu wapi aya ya qur'an inasema nabii issah amefariki au hadithi yenye kuthibitisha hii ipo wapi ?
2026-10-05 17:11:11
1
nurdeenemmanuel50 :
nabii Isa ataludi duniani ?
2026-10-05 16:26:03
0
black_baloon :
miaka mingapi vile ama nime skia vibaya
2026-10-05 23:56:11
1
Sam🇹🇿 :
huyo nabii Isa Ndo Nani
2026-10-06 02:22:00
1
Felicidad Emily🥰🥰🥰 :
ila ndugu zetu.mnatuvuruga jaman
2026-10-05 18:25:29
0
nurdeenemmanuel50 :
aya gani inayo sema alikufa
2026-10-05 16:28:18
0
mtunzi94 :
duuuh kumbee
2026-10-05 18:33:52
0
allaboutfarry :
dini iliyoanza karne ya 7 walibuni Yesu wao wakamwita Issa bin Mariam na wanatumia ushahidi wa kihistoria kuokoteza ili kuthibitisha hilo
2026-10-06 06:48:36
4
ALKEBULAN :
Jaman mbona mnanichanganya tena ndoman sipendi kufatilia dini
2026-10-06 07:03:20
0
To see more videos from user @jalsatz, please go to the Tikwm
homepage.