@brand.kali: inauma sana 😭😭😭😭

brand kali
brand kali
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 10:59:30 GMT
76037
4732
195
35

Music

Download

Comments

nyamoninyantomani
maiko samwel :
polen sam wp iy madelev wezang
2026-10-05 18:37:10
1
we.huogopi4
we huogopi🙈 :
polen sana[Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-10-05 14:54:39
0
nashonjrsports0
JR SPORT 🇿🇦🗣️ :
poleni jamani🙏🏿
2026-10-05 17:44:00
1
user45859471819
Elia boy :
duuh pole mdeleva bajaj wenzetu hap niwap si tunapigia kazi kaham
2026-10-05 12:56:22
17
user2512958186741a
user2512958186741Amina♥️ :
Ivi tukishikamana kwenye maisha kama ivo kwani kunamtu atakuwa maskini dunia hii jibu ni hapana lakini sisi binadamu timezidi chuki ubinafsi na roho mbaya 😭😭😭😭
2026-10-05 16:02:08
15
anna.charles472
Anna charles :
polen ni wap apo
2026-10-05 18:12:50
2
user2269236101983
Asma jack :
poleni
2026-10-05 18:17:20
0
fanuelnyagawa
Fanuel 157🇹🇿 :
what the love🥰
2026-10-05 12:55:08
5
el.vanny.tz
🈵 Handsome 💦🕺 :
Nakubali San wangu wa bajj Tujaribu kupena elimu tuwe na umoja kweny matatizo Barabarn tunapitia mengi 😭🥹🥹. Sana But tukiwa na umoja like this 👆👆
2026-10-05 11:48:57
12
musamoses58
muu Official99 :
naamini ni kijana huyo aliepoteza maisha, vijana tunaisha sana ndugu zangu, tupende ibada na tuombeane mwisho mwema
2026-10-05 15:03:27
14
muhungutheboy
martin paulo :
pole san kk
2026-10-05 13:28:22
1
martha.ambakisye
Dativa💞🌙Rehema💫🫀mom❤️❤️❤️ :
Jamani umuwekage na picha kinaombeni wapo wenge aya uyu ombeni wawap ss
2026-10-05 13:30:52
6
veeenforever
EN 4rever :
Ila watu wa bajaji na watu boda wanaupendo sana
2026-10-05 18:06:02
5
youngchella_12
Chella Chosen :
Jamaa Alinitangulia Madarasa KIDUGALA LUTHERAN SEMINARY alikuwa mpole na mkarimu sana….Mungu Ailaze Roho Yake Mahala Pema Peponi🕯️…Ayubu 1:21 akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.📖 SOTE NJIA MOJA.
2026-10-05 19:54:14
6
user8114478296822
momy vany🥰🥰🥰 :
ombeni jamn mungu aipumzishe roho yako mahala pema peponi😭😭😭😭😭
2026-10-05 14:10:49
5
user2530075456141
Joyce :
poleni jaman 💔💔
2026-10-05 14:26:15
2
eveny801
@eveny08😍😍 :
R.I.P😭😭😭😭
2026-10-05 13:28:52
1
mgayababy
mgaya attu :
daaa poleee sana
2026-10-05 16:58:33
1
we.huogopi4
we huogopi🙈 :
hapo ni wap
2026-10-05 13:56:39
8
chammy750444237
ch@mmy mont@n@ :
poleni sana
2026-10-05 13:29:12
1
anney.davdiy
Anney Davdiy :
mungu akupunguzie adhabu ya kaburi. kaka angu
2026-10-05 17:28:52
3
kidoti.mc
kidoti mc :
nimependa sana umoja wenu mungu awatie nguvu🥰🥰😭
2026-10-05 17:24:12
2
user41531217159570
user4153121715957 mbarikiwa jr :
poleni sana ndugu zangu wa bajaj je ni wap huko na marehemu kapata ajali au magonjwa tu
2026-10-05 18:30:38
3
tabunyingirahakiduchu
POWER OF MONEY 💰💰💵💵🪙🪙 :
kweli ukisikia ishi vizuri na watu ndo hii sasa R.I.P OMBENI
2026-10-05 17:14:28
3
neylyshaz
neema :
polen sana
2026-10-05 13:57:01
1
To see more videos from user @brand.kali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About