@tjmakuhana: Huu ndo utaratibu tutakaotumia kuandika maombi yetu ambapo vipengele vitakua 8 1. SHUHUDA 2. KUMJUA MUNGU 3. MAHITAJI YA KIFALME 4. MTU UNAYEMWOMBEA 5. AFYA 6. FAMILIA NA MAHUSIANO 7. UCHUMI (KAZI, ELIMU,BIASHARA) 8. MAENDELEO BINAFSI Natumaini kwa hapa tumepato mwangaza Kwa ambae bado unachangamoto nitakua live saa 12 jioni tuwekane sawa. Nawatakia maandalizi mema 🤍 #hallelujahchallenge #nathanielbassey #hallelujahchallenge2026 #fyp
Theresia Makuhana
Region: TZ
Monday 05 October 2026 11:05:22 GMT
Music
Download
Comments
swanny🦋🦋 :
Ina anza lin
2026-10-05 11:33:02
1
conniey01 :
Naomb niunge kweny group la WhatsApp
2026-10-05 12:33:03
1
“ :
Naomba mtu alike hapa ili Nije nisikilize vizuri watu wa Mungu 🥰
2026-10-05 12:52:11
8
Maggie :
🙏🙏🙏🙏nimeanza kuelewa
2026-10-05 11:47:46
2
Glory Sanga :
niunge KWENYE group mpendwa
2026-10-05 12:05:33
1
Rosemeralda 🌹🌸 :
Mbona mnazuia download
2026-10-05 12:32:05
2
queengeofrey10 :
Asante kipenzi
2026-10-05 11:37:52
1
fine :
be blessed madam
2026-10-05 11:11:21
1
Mama Ivy❤ :
asante sanaa hapo kwenye mtu wa kumwombea ni lazima mmoja tu?
2026-10-05 12:37:46
1
Latifa :
naomba niunge madam
2026-10-05 13:02:18
1
momy Ethan ❤️❤️ :
Dear kila maombi unaandika kwenye page yake
2026-10-05 12:21:56
1
officialg@gasper :
kuna mim moyo wangu umechoka swez na sion Cha kuandika😟
2026-10-05 11:17:24
3
MY-Jojo STORE 📍💕 :
asanteni unatusqidiq sana wale wa for 4 ya 0😂 usiache kutuambia kila siku
2026-10-05 11:20:13
2
Witty_stylish_hub🛍️🎀 :
Thanks dear♥️
2026-10-05 11:44:14
1
Amaris :
Kwan tunafunga pia?
2026-10-05 13:24:04
0
Yvonne_ Hairland :
ubarikiwe
2026-10-05 11:48:02
1
DIANA M OFFICIAL ❤️ :
inaanza saa ngap et
2026-10-05 12:48:59
0
ßà🧸♣️ :
na je vp kuhus mfungo ni siku ngap na Kuanzia saa ngap nataman kujua
2026-10-05 11:53:18
0
leah_de_cutee :
2026-10-05 11:14:58
1
Kikya🦋🥀 :
niungeee kwenye group dr
2026-10-05 11:42:09
1
feisal mom :
jamn Gb 1 itanitosha kweli au ndo mpk niwe na wifi
2026-10-05 13:17:09
0
Esther peter :
ubarikiwe sana
2026-10-05 13:26:03
0
TECNO BRAND SHOP KAHAMA :
Be blessed dear🙏🙏🙏🙏
2026-10-05 12:59:51
0
Miss kipingu❤️🦋 :
Ubarikiwe mwaya🥰
2026-10-05 12:56:16
0
🦋manka 🦋 :
kila kipengele kwa siku moja au
2026-10-05 13:33:30
0
To see more videos from user @tjmakuhana, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.