Ni kwel kabisa ukhty, salat ala nnaby+istighfaar+tahajjud ni combination moja ya ajabu sanaaaa, yani utajibiwa dua mpaka ushangae. Mm ni mwanafunzi, baada ya kudumu na mambo hayo nimekuwa nikipata grade A za masomo yote kuanzia primary , secondary na advance sasa nipo MEDICAL SCHOOL na nimepata full scholarship for 5 years. Yani kama nitaingia kwenye mtihani wenye maswali kumi , bas nitakuta maswali tisa au nane nimeshawahi kuyafanya kwa barka za salatu ala nnaby.
2026-10-05 11:48:05
7
chamyreine :
shukran
2026-10-05 11:26:05
2
Isha_miss🧕🤍 :
niunge kwenye group kipenz
2026-10-05 12:10:04
1
munaamchuzi :
Shukran
2026-10-05 13:30:37
0
Mamuu :
Shukuran ukhty
2026-10-05 13:12:42
0
Tumu Abdallah :
Maashallah jazakallahu ghairan
2026-10-05 13:02:37
0
Humoud Nassor :
Mashallah
2026-10-05 13:19:35
0
hawaa :
Wallahy hii ni kweli,kwa kufanya dhikrillah na salat nabii boss wangu akinilipa ameniongezea pesa za ziada+ transfer fees🥰🥰,haya jana nikiamka kuangalia simu mtu amekosea akanitumia 5275ksh,nikaziangalia Wala hata sikushikwa na tamaa za kuwaza kuzichukua, safaricom wananipigia simu haendi through but niliacha mpaka wakareverse nikashukuru Mungu mana huwa namuomba Mungu aniepusha na dhulma na kula kisichokua jasho langu
2026-10-05 13:18:13
0
Amina ❤️❤️🔥🔥 :
mashallah
2026-10-05 11:45:02
0
MSC STORE :
Plz naomba hii video
2026-10-05 11:18:48
1
To see more videos from user @najlafuadahmed, please go to the Tikwm
homepage.