@wema_wangu: huzuni kwa baba mtoto alie uliwa na watu wasio julikana ila mungu ndio anawajuwa walio Fanya kitendo icho poleni wafiwa Pemba NGUVU MIJA #maelekezo #jamii #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

WEMA_WANGU
WEMA_WANGU
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 11:11:43 GMT
72076
6288
212
112

Music

Download

Comments

hazlababy2
hazla baby 💖 :
inasikitisha wallah 💔 [Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-05 17:04:24
0
furaha.furaha47
FURAHA FURAHA :
Inauma sn jamani [Crying][Crying][Crying]
2026-10-05 20:03:34
0
bady.662
Bady 66 :
Usiwe na hasira kaka mkubwa🥺🥺🥺
2026-10-05 12:18:13
23
santos_jr_8
SANTOS_JR :
🥹🥹🥹 i have nothing to say but it really hurts🥹🥹
2026-10-05 12:28:41
13
mk170273
MK17# :
more sad wallah 😢 [Crying][Crying]
2026-10-05 15:00:55
1
kibwengo302
Maharo n.k kibwengo😁😁 :
pole bBa
2026-10-05 12:44:03
0
hafidhali805
Yussuf kassim :
mungu amlaze peponi amini
2026-10-05 12:56:59
14
0786550335seifiddi0
Seifdin🌹💔 :
inalillah wainnailah rajeun hakika Kila nafsi itaonja umaut 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-05 11:55:43
53
f.f.f.e.g.o.n.z.i6
F.F.F E.G.O.N.Z.I🇹🇿🇰🇪🤘🤘 :
Allah Allah 🤲🤲
2026-10-05 15:05:40
0
mohdhassan9722
mohdhassaniayoub 1234 :
wamby br
2026-10-05 11:53:19
0
nawwar.sultwaan
nawwar sultwaan :
baba wee yaani nnahasira kuliko kifo Cha huyu mtt mm ni mdg wangu huyu wa damu kwa kweli nimeiereka sana
2026-10-05 13:17:38
8
omary.swalehe2
Omary Swalehe :
CCM ndio inachafuwa nchi na ndio italeta vita Ya Ndani Kwa ndani.
2026-10-05 14:45:01
6
wema_wangu
WEMA_WANGU :
nawwar kilicho Baki kuweni na subra
2026-10-05 13:51:42
6
mamy3820
mamy :
😭😭😭Mungu atawapa majuto wote walio husika mpk kifo
2026-10-05 11:51:14
18
user2554291518732
Munira.Miraji :
maumivu anayo yaona huyu mzee apo. du we Acha tu. Allah amjalie subra
2026-10-05 20:36:20
1
rashid37051
Rashid :
huyu anaongelea kuhusu mtu mwengine
2026-10-05 15:58:44
3
graa2953
graa :
pole sna mzee wng mungu yupo atakulipia tu
2026-10-05 14:19:49
4
maryamhassan8064
maryam Hassan :
Allah amlaze Mahala pema pepon
2026-10-05 15:38:26
1
vyavuzi
yavuzi :
Alhamdulilh Ina tosha
2026-10-05 15:07:39
1
yusratyaly
يسرا 🥰🥀🌹 :
mthani 😫
2026-10-05 16:37:31
1
usira02
toto lakinyatr :
kwanin watu wanakua naroh ngumu hivo kukatisha maisha yamtot inauma san😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-05 15:28:16
3
kihemba68
kihemba :
pole Allah yupo p1 n ww Malipo ni hapa hapa duniani
2026-10-05 14:37:53
1
zanmoyowangu_tours
Zan Moyo Wangu Tours and Safar :
pole saana mzee allah akupe sbra
2026-10-05 15:43:49
1
user7379878560817
user7379878560817 :
wamefanya kwa siri ila mung atawaumbuwa walio fanya jambo hilo inshaalla
2026-10-05 14:38:10
1
amialikumbo665
Amiali Kumbo :
allah amlaze mahali pema peponi daaaaah hii hatar saaan wallah
2026-10-05 18:59:07
1
To see more videos from user @wema_wangu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About