@zaramoonlinetv: Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika maeneo ya Kariakoo, Msimbazi jijini Dar es Salaam, baada ya mvua kunyesha. Serikali imeendelea kutoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi katika maeneo ya mabondeni kuchukua hatua za tahadhari na kuhama maeneo hatarishi kutokana na uwezekano wa mvua kubwa. 📲 Fuatilia @zaramoonlinetv kwa habari za Tanzania na dunia. #ZARAMOOnlineTV #HabariZoteZikoHapa #Kariakoo #Msimbazi #DarEsSalaam

ZaramoOnlineTv
ZaramoOnlineTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 11:33:20 GMT
104882
2189
98
274

Music

Download

Comments

scholah.lyimo
Scholah Lyimo :
hii n eli bado nino khaaa
2026-10-05 16:16:57
0
officialbel0
LOML💖🔐 :
uyo ni eli bado nino mwenyewe
2026-10-05 15:28:32
40
user36175342353657
lissa :
huyo El ndo ashaanza bado huyo nino
2026-10-05 16:39:23
6
khamisibinamu
Binamu dread locks :
asa hivyo ni vinyunyu vp ikianza hyo Elinino?
2026-10-05 12:56:14
35
dash__mitindo
DASH__MITINDO :
Ai uongo huu kwa mvua gani??? Acheni kuwapa pressure wananchi
2026-10-05 16:39:08
3
user2106088126861
clevergal😘 :
maji yachooo ayo😅
2026-10-05 14:07:32
0
princessmassawe5
Princess Jayden ❤️ :
mbna ilikuwa mwaka juzi embu acha kututisha bana
2026-10-05 13:50:54
7
kagame9383
kagame93 :
hiyo ni ya dakika 15 je El nino
2026-10-05 13:33:54
7
majejepain1
majeje pain :
yalini hyo
2026-10-05 12:33:05
3
murtazasuru
Murtaza Hasham :
Dah Hatari El Nino Bado hapo Allah atusitiri
2026-10-05 15:39:02
1
yarruh
sharifa cute 64🦋 :
ndo zimeanza au😄
2026-10-05 15:49:08
1
shezan.remtullah
ŠĤƏŽ :
subhan allah hivi hi mvua mdogo umefanya hv je elnino si itakuwa balaa
2026-10-05 15:31:39
2
ratifa6210
Ratifa kanjanga :
mbon.reo nimeshinda uko msimbazi sijaona iyo har
2026-10-05 17:03:06
0
munira.mussa44
Munira Mussa :
du hiyo ni El tu bado nino sasa ikija itakuaje sasa
2026-10-05 13:11:33
4
dee_jonas_
debby :
uwiiiii mifereji haijaziburiwa😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌😫
2026-10-05 13:48:39
0
hatsonmalongo1
Hatson Malongo :
nimeona Kwa macho 😳Leo iyo
2026-10-05 17:21:36
0
trybeth5
lisper 💞 :
yaan sahv hat manyunyu tu mtapewa taarifa
2026-10-05 16:57:10
0
rolandimasoudykwi
rolandimasoudykwi :
hiyo ya leo
2026-10-05 16:29:26
0
um.aalf
um aalf :
Zingatieni miferehi ya kupishamaji hayo ndio mfano mdogo
2026-10-05 16:14:28
0
samgado.ramadhan
Samgado Ramadhan :
SAS Kama hiyo n vua ya sikumoja hali ni hiyoikinyesha wiki
2026-10-05 16:16:44
0
fettymo311
fettymo :
iyo leo iyo
2026-10-05 17:30:44
0
itsessy018
Estyy🦋✨ :
elnino ndg au
2026-10-05 17:46:02
0
officiallove518
L🥰ML💕 :
kwan sehem nyingne mvua imenyesha kubwa
2026-10-05 16:20:58
0
erenest1234
erenest@ :
eliminyooo au
2026-10-05 17:11:24
0
kelvin.laizer99
Kelvin Laizer :
maduka hawajafungua😂😂😂
2026-10-05 12:26:50
0
To see more videos from user @zaramoonlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About