I will drive my self to the clinic in the mighty name of Jesus 🙏
2026-10-06 07:02:03
30
Jackline Muthoni :
no man is worth going through all this... jizalie kama unataka..
2026-10-06 12:58:15
3
✨Cerah 💙💓 :
sharp gals... wametulia to wanasoma comments 🤣
...10/10
2026-10-06 05:52:11
931
HER💅 :
maybe ikuje cryptic ju naeza sacrifice my salary nitoe mimba
2026-10-07 11:35:02
13
Rizzy :
I'm 25 and I fear early pregnancy 😭😂
2026-10-06 08:58:04
452
joan tekib :
very sad they all look like teenagers
2026-10-06 07:27:58
446
Emeldah😍 :
mimi naye I will be selfish with my womb[Tears of joy]
2026-10-05 18:03:45
123
Onika :
they are all babies carrying babies😭
2026-10-06 12:12:30
31
Blacky Beauty 😍😍 :
kwani huku hamngoji ata wajue kuoga 😳😳😳jamani 😂 ni WA Young
2026-10-05 14:49:51
727
Davyn 🎀 :
acha nikavae surualii nirudi kwetu
2026-10-06 03:53:41
706
Miss Jay 🫦 :
watoto wamebeba watoto🥹
2026-10-05 19:28:07
144
Kiprain 🌧️ :
Me vibing with the background song 😂
2026-10-06 05:14:47
38
✨ Riri ✨❤️💫 :
I love what am seeing 😂si watoto ni wetu wote right sharp gals 😂 ebu wakue mbio tuwatume duka😂😂🙌
2026-10-06 09:28:34
6
💖💖Chioma 🦋🦋🧚♀️ :
Alaf kuna mm hapa staki watoto
2026-10-05 23:13:48
81
chepkorir_mitei.1 :
Motherhood is forever be selfish with your womb gurlies 😌
2026-10-06 06:19:04
11
🌸mo🫧mo🦄 :
Me hupatana na tusichana tuko na mimba nashangaa sana .. ni nini bado hawaelewi
2026-10-06 11:15:54
29
🦋Rubby Rubbie🦋🫦 :
kids taking care of kids 😢💔
2026-10-05 18:43:40
6
S❤️I❤️P❤️E❤️. :
walishindwa kuvumilia.
2026-10-06 11:22:50
5
KANGU ♓🐟 :
nikikumbuka nilikuwa ivi 2021nimetembea vumbi imejaa kwa mguu ,nimesweat alafu unafika clinic unapata na nurse ati ww mtoto unakula shida ivi kwan ulizaa na mbwa haiezi kupea 50bob ya fare,😂😂sahi 2nd born maybe nikunywe na maji nijikute🤣🤣
2026-10-06 14:20:44
9
sarah♥️ :
ona venye wamepiga vumbi eeh 😂😂my mum alipeleka wangu clinic zote 😂nlichuna maskio sitakiii
2026-10-05 19:17:03
5
Namalwa 🍇 :
Si nmeona mmoja akapanda Lexus 😂
2026-10-07 08:55:01
5
Diana :
Mm nitazaa tena nkinunua gari na biashara zangu kadhaa na nkikosa hizo acha nikae tu na kamoja hii ni ufala[Crying]
2026-10-06 09:14:31
5
Being lydiah 😘 :
Imgn those guys life yao iliendelea tu kama kawa but for these hawana options, ni kukapitia mpaka watoboe na hao watoi by force, mungu awape nguvu,, by the time anamaliza malezi aanze kufikiria what next masiku zinaenda na uchumi bado unasonga
2026-10-05 19:24:02
63
otis :
ata hii video haitafanya niwache kutafuta bibi sababu mimi wangu ata iyo mimba afadhali niwache kuenda kazi nikae nayeye mpaka azae
2026-10-06 07:24:52
34
To see more videos from user @omubaya47, please go to the Tikwm
homepage.