@mmangahd:

Mobi
Mobi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 11:49:02 GMT
5789
64
29
22

Music

Download

Comments

hamad.abdallah754
Hamad Abdallah :
Wanaweza kuondoshwa Raiya 10000 na akapewa muwekezaji. ukoloni haukuondoka ulibadilisha namna tu ya utendaji.
2026-10-05 21:06:49
6
riffat.win
Riffat Win :
wapi hamsemi😞
2026-10-06 05:09:54
0
yahya.ali5294
Yahya Ali :
Dah hii hali inauma sanaaaaaaaa
2026-10-05 20:57:39
2
dulazigy
Zig dula :
sio njoo zipa jmaan Fika Zipa kaz za wa2 iz znafanywa n kila m2 tatzo
2026-10-06 05:34:32
2
abdullmazrui
Dully Nico :
Roho inauma sanaaa
2026-10-05 21:41:32
3
idrisayussuf
mr. Ability :
Kwa ninavyoona huyo anayejenga hana kibali na hajafata taratibu za ujenzi ujenzi km huo lazima lazima uwe na kibali cha ujenzi na BANGO ambalo mtu yoyote au watu husika wakipita walione sasa huyo anahaki ya kuambiwa afike officin kwasababu hakuna kibali kinachonesha km amepitia process zote na kama kibali na BANGO analo akienda watamwambia tu kwamba BANGO liweze kwenye ukuta au lisimamishwe lionekane km hana hivyo atapata faini ya mara2 ya hilo BANGO na kibali inategemea anaenda floor ngapi juu ila kibali cha hapo kuanzia milion5 na kuendelea km anavyo vibali aende tu hakuna kesi hapo ila ataambiwa BANGO aliweka wazi ili wakipita wajue umepitia process zote
2026-10-06 07:56:17
0
ant.naaa.dera.juml
naima dera jumla na rejareja :
acha tu changu kwangu hapo
2026-10-06 02:24:12
0
sultanplatnumz
Sultan Platnumz :
Nyakati za Usoni wasi wasi wangu Kufika Mji mkongwe lazima Uwe na kadi ya mualiko.kwa unae muendea,bustani ya forodhani kwa kipande maalum na Hata Pwani Ya mazizi kule kwa wavuvi itakuwa ngumu kwa raia kufika na kuogelea Baharini huu ndio Wasi wasi wangu Mkubwa
2026-10-06 07:59:17
0
fakihdarusi616
fdj122345556654466 :
ZIPA SAIVI NDIO WAMEJUA KWAMBA NI MAENEO UA KUEKEZA MIAKA YOTE WALIKUWA WAPI??
2026-10-06 05:10:00
1
user7903783629782
user7903783629782 :
wapi hii jamaani. hali inatisha
2026-10-06 02:28:25
1
thabit_256
thabit_256 :
huu zaid ya ukoloni
2026-10-05 21:43:52
1
zebra_costa3
zebra_costa :
dah
2026-10-06 01:21:42
0
yahya.ali5294
Yahya Ali :
Nilitaka kuudhiwa eneo la viwanja vimne kwa milioni nane sema mimeenda na mwenzangu ndo akanambia bei iyo yukaongia mashaka
2026-10-06 00:39:31
0
abdullmazrui
Dully Nico :
Jirani yangu huyu. Mm kesho naenda zipa maruhubi maana ndo tumestopishwa ujenzi wa kaaz wa Uko
2026-10-05 21:41:17
0
user8873974159802
rojas :
Kibali cha ujenzi umepewa alafu inakuja mamlaka nyengine inakuzuiya vichekesho ivo
2026-10-06 04:45:30
0
abdullaabdulla8125
abdulla abdulla :
shida umenunua karibu na barabara 😃😃😃
2026-10-06 05:50:09
0
rashidsuleiman341
FABIANO :
jengeni kigamboni znz kila sehemu ya ba mwny
2026-10-06 05:41:49
0
user3330580788778
user3330580788778 :
mtihan hapa ndo utajuwa hujuw watatuwa kwa stress hawa mtihan mungu afanyie wepesi mana horofa mtu kashajipinda vya kutosha Leo unakuja kustop na kuvunjwa
2026-10-06 07:41:41
0
esoes6830
esoes :
yaaan mtihani mtu unanunua kiwanja unajiona upo mbali na barara halafu barabara inakuja katikati ya kiwanja chako halafu hulipwi. mungu yupo
2026-10-06 08:34:44
0
To see more videos from user @mmangahd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About