@islamicswahilinet: NASAHA ZA SHEIKH ADINAN AMIN Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Monday 05 October 2026 12:08:02 GMT
Music
Download
Comments
Amina Kazigo :
waislam wenzang tusiache swala
2026-10-05 19:49:36
5
KingSopo Org :
ndo binadamu tulivyo tunatofautiana uwelewa[Pray][Pray]
2026-10-05 12:20:09
5
Mulunda Juma :
allahmdoullillah
2026-10-05 13:44:18
4
Abdalah dudu :
nakukubali sana
2026-10-05 15:09:48
2
SuaxBabī :
Mash Allah
2026-10-05 12:15:44
2
shanimikidadi :
sahihi
2026-10-05 17:00:43
1
Mo :
Hakika
2026-10-05 19:12:40
0
ALBERT KAMAYOMBE :
🥰🥰🥰 akikah
2026-10-05 19:25:32
0
Yãmën Ismael :
Qu’Allah vous récompense
2026-10-05 17:06:33
0
lazia :
Allah akbar
2026-10-05 16:33:55
0
Yohana Lukasi :
kweli kabsa
2026-10-05 14:36:20
0
Mohamud Ahmed691 :
Masha Allah
2026-10-05 15:59:20
0
Amina :
maashaallah
2026-10-05 14:19:07
0
yunusali4771 :
mashaallah
2026-10-05 13:36:56
0
kibela :
Hahaha
2026-10-05 15:00:27
0
Major the Animal :
Sheikh waga nakukubali sana ila leo nakupinga kulala nje Ng’ombe na kuku kua ndani usalama wa kuku kulala nje ni mdogo sana mtu anaeza mchukua dakika moja tu na asionekane ila Ng’ombe ni ngumu ndio gari ubakia nje ila Baiskel uekwa ndani
2026-10-05 16:34:40
1
D GALAH :
huyu n mwana wa id amin rahmahu llah
2026-10-05 12:25:34
2
user560593542138 :
hta funguo y gar inalal ndni ila gri inalal nje dunian kte c africa2
2026-10-05 20:33:22
0
@B-og:BUBUBU¹'2 :
Masha-allah
2026-10-05 19:34:22
0
Akuja :
😂😂
2026-10-05 12:28:29
1
Humble_Servant😎 :
🥰🥰🥰
2026-10-05 17:21:10
0
Osman Maty🇹🇿 :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-05 17:38:42
0
jillo064 :
💯💯💯
2026-10-05 16:18:19
0
Abdallah malki Omar :
🥰🥰🥰
2026-10-05 15:37:35
0
ICE×TAMU :
🖤🖤🖤
2026-10-05 12:24:26
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.