@green.empire4: ๐... ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐...๐ Tunayo miche bora ya komamanga yenye matunda makubwa, maji mengi, na ladha tamu ๐ฑ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ โ
Komamanga ya kawaida โ Tsh 2,500/= na miche mikubwa Tsh 10,000/= โ
Komamanga ya South Africa โ Tsh 4,000/= na Tsh 10,000 /= kwa mche mkubwa (Tunda kubwa, maji mengi, ladha tamu) ๐๐
๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
๐๐ __Hupunguza presha ya damu __Huzuia saratani na maradhi ya moyo __Huimarisha kinga ya mwili __Huboresha ngozi na mmengโenyo wa chakula ๐ผ ๐
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ __Soko la ndani na nje ya nchi __Tunda hudumu sokoni kwa muda mrefu __Hustahimili ukame โ gharama ndogo ya umwagiliaji (maji) __Faida kubwa kila msimu โ zao la biashara ya uhakika ๐ฟ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ Umbali: Mita 4ร4 au 5ร5 kulingana na udongo(ramani ya shamba) ๐ณ๏ธ Mashimo: 60cm x 60cm x 60cm โ yaachwe yapumzike kabla ya kupanda ๐Mbolea: Samadi iliyoiva + DAP (kiasi sahihi) โ ๏ธ Epuka mbolea zenye chumvi nyingi ๐จ๐พโ๐พ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ง Mwagilia kwa wakati โ hasa kipindi cha kiangazi na miezi ya mwanzo โ๏ธ Fanya pruning โ kata matawi yasiyo na afya kuongeza matunda ๐ก๏ธ Dhibiti magonjwa kwa njia rafiki (kiasili au kiwandani) ๐ฑ Ongeza mbolea mara kwa mara kwa ukuaji bora na mavuno mengi ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ -๐๐ข๐ ๐๐จ๐ฆ๐ ๐๐จ๐๐ ๐ Wasiliana Na Lihawa Sasa Hivi: ๐ฑ 0760632288 (Simu/SMS/WhatsApp) ๐Usafirishaji salama haraka na kwa uhakika Nchi Nzima -Kwa njia ya basi __Tunatuma Kuanzia miche kumi 10 (Pia tuna miche ya matunda aina nyingine kama Parachichi,embe, chungwa, limao, Stafeli, topetope kwa Tsh 2500/= Tu, na Miche mikubwa kwa Tsh 10,000 Unaweza kuchanganya ikafika miche kumi 10+) ๐คHifadhi(save) namba yetu hiyo hata kama hauhitaji miche
Green Empire
Region: TZ
Monday 05 October 2026 12:25:08 GMT
Music
Download
Comments
POT &PLANT HUB :
bei gani mche
2026-10-23 09:56:15
1
๐clessure๐ :
bei tafadhali nahitaj 24
2026-10-05 13:08:15
1
maryamali22087 :
nataka. mche
2026-10-12 07:03:16
2
user9339375148161 :
mm nipo Zanzibar nitaipataje
2026-10-19 17:42:20
1
mama amira :
nataka niko kenya
2026-10-18 23:24:14
1
samadangajr :
muda gan inakuwa tyr
2026-10-14 18:10:07
0
Hassan mwani :
bei gn
2026-10-05 15:54:31
0
SRS DRILLING COMPANY :
@SUPER DRILLING & HYDROTECH ENG
2026-10-21 10:36:51
2
To see more videos from user @green.empire4, please go to the Tikwm
homepage.