@jonstarofficial: Twanga Pepeta waliachia mawe makali sana miaka ya 2000. Luiza Mbutu - Kuolewa 2000's #sisitumeanza #daima #nostalgia

Delvis Kasaloo
Delvis Kasaloo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 October 2026 13:07:56 GMT
42019
1823
81
151

Music

Download

Comments

edwardmalundi
EDWARD A.M.M :
Hii Ngoma KUOLEWA ilifyatuliwa na Twanga Pepeta umwaka 2001 kwenye albamu ya Fainali Uzeeni, ulitungwa na mchaga mbishi Luiza Mbutu kuwawashia moto wambea waliokuwa wanazingua mademu kisa hawajolewa. Ngoma inapiga marufuku presha za kijinga za mtaani, ikikazia mchongo kwamba ndoa ni majaaliwa ya Mungu na hakuna haja ya kukurupuka kupata mume feki ili tu kuwaridhisha walimwengu.Twanga Pepeta kipindi hicho ilikuwa ya moto hapo video inatolewa na Wananchi Video Production au EmptySoulz wale
2026-10-05 16:34:14
9
khamisibinamu
Binamu dread locks :
mbna hapa ITV ilikuwa na quality na HD?tofauti na sasa
2026-10-05 13:44:31
6
minnah_msangi
minnah_msangi :
Hapo si wetn world
2026-10-10 17:36:23
1
kennedysangali3
kennedysangali :
niwek lightness
2026-10-05 15:11:53
2
kidabang.tobe
#Kidabang tobe Jr# :
TWENDE HAPO
2026-10-07 18:17:55
0
mroreo_mg
mroreo_mg :
oyaaa hyo style ilikuwa inaitwa kiwazensa wanayo cheza hatari hyo
2026-10-13 12:36:17
2
aisha.ngam
Aisha Ngam :
Kipindi hiko mpk ITV watake kuzirusha ila now nikiwamis ni mwendo wa yutube tu
2026-10-05 18:32:54
1
ibadamuhimu5
SENGA! :
2000 nko kwànza
2026-10-08 22:10:57
1
julias.jackson7
Julias Jackson :
bro niko kenya but nakumbuka izo songs nikiwa shuo sekondari okokola
2026-10-07 17:23:21
1
taitaoutfits
Taita Outfits :
Itv jumamosi🤣
2026-10-09 23:10:56
1
bright.mwaulambo
Bright mwaulambo :
twanga pepeta
2026-10-08 15:10:13
1
goodmusic2026
wazamani :
home alone 🔥🔥🔥🔥
2026-10-22 05:58:35
1
hassanikillo881
Hassani Killo :
pumzika kwa amani Amigolas
2026-10-05 18:57:43
2
hemedhosen
hemedhosen :
hatari sana iyo twanga pepeta ya kuanzia mwaka 1999 mpka 2005 si mchezo yani ilikuwa kali kuliko hata hii ya sasa
2026-10-07 09:02:00
1
keypbenedo
keypbenedo :
wimbo unaitwq kuolewa! cjawai kukosa usiku wa mwafrica billcanas
2026-10-05 16:18:27
3
eliteman303
eliteman :
enzi hizo kabla miaka haijaenda zake kwao
2026-10-05 15:04:40
2
sabrinakadosa
Sabrinakado Sabrinakado :
tuache dharau nipo la tano wimboo huu
2026-10-07 01:37:24
1
kaburu335
kaburu :
home alone
2026-10-09 08:11:35
1
maryjuma761
mary🫦🦋 :
luiza she is beaut and slim 2000🥰
2026-10-08 22:15:28
1
eliudmkumbwa1
MASTER :
nzuri sana ila bongo hatujaanza leo kukopy na kama Huniamini nenda YouTube andika aurlus mabele situation🔥🔥🔥 sebene kali
2026-10-05 20:53:07
1
zenamfaume4
zenamfaume4 :
Enzi za super nyamwela dancer iliku hatari sana,Ai
2026-10-05 18:46:34
1
pascallyaruu0185
PacoDidas. :
2026-10-05 18:25:40
1
denis.malima
Denis Malima :
Yani hapo Mimi macho yote kwa Jessica Chars.
2026-10-05 17:50:47
1
meddycastor
meddycastor :
sana
2026-10-12 20:04:27
0
jamalzungu1
Jamal Zungu :
sana
2026-10-05 14:03:28
0
To see more videos from user @jonstarofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About